Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samahani wadau hivi inapokua LED huwa inamanisha nini
LED kirefu chake ni Light emitting diode, ni technology nzuri kwenye TV Picha inakua angavu zaidi kulinganisha na zile za plasma, LCD. kwa kifupi kuna vi pixels vingi ndani Kama taa ndivyo vinavyotoa mwanga, LCD zina kemikali Kama maji ndio zinazotoa Picha ndani. Smart TV, ni zile zenye Uwezo wa Kua connected wireless na vifaa vingine e. g Wi-Fi
 
je inawezekana TV ikawa LED na Smart tv kwa pamoja... plzzz niondoeni tongotongo
 
je inawezekana TV ikawa LED na Smart tv kwa pamoja... plzzz niondoeni tongotongo
Tena almost zote ni led na smart, Kama nilivyosema smart ni TV yenye uwezo wa ku connect na device zingine kwawireless Ila led ni technology tu ya kioo Au Picha
 
Reactions: Lee
Wakuu naomba kuuliza ..kati ya LED , SMART na LCD TV ipi nzuri

Mfano sumsung inch 42 ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…