Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Hatuna hiyo mkuu
Tunazo mkuu ni 650000 kwa sasa
Bei hiyo ni mpaka naipokea huku mkoani?Tunazo mkuu ni 650000 kwa sasa
Hapana hiyo ni bei ya kuinunua tu hapa Zanzibar, mpaka huko ni 700000
Model ganiUsed Samsung smart TV Kama mpya
Inch 46
Very slim
Full HD
1.4MView attachment 567158 View attachment 567159
Na vp kuhusu maswala ya kodi pia..?Mkuu hapo usafiri ni juu yako au ya mnunuzi...? Maana najua upo zanzibar...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ntapataje hii? Npo mkoanStar x led 32"
Price: 340000
Contact: 0777650286 & 0718919725
Utaipata mkuu ukishakua tayari, kila siku mbona nasafirisha mizigo kuja huko mikoani? Ondoa shaka mkuu, tucheki kwenye hizo no tumalize biasharaMkuu ntapataje hii? Npo mkoan
Naipenda JF
Malipo yanafanyikaje? Mpaka nipate mzigo au kabla ya kupata?Utaipata mkuu ukishakua tayari, kila siku mbona nasafirisha mizigo kuja huko mikoani? Ondoa shaka mkuu, tucheki kwenye hizo no tumalize biashara
Kwa huko mikoani mkuu ni kabla maana huko hatuna wakutuakilisha, ila ni uhakika mzigo wako utaupata bila ya usumbufu wowoteMalipo yanafanyikaje? Mpaka nipate mzigo au kabla ya kupata?
Naipenda JF
Ok,nikihitaji nitakutafuta.Kwa huko mikoani mkuu ni kabla maana huko hatuna wakutuakilisha, ila ni uhakika mzigo wako utaupata bila ya usumbufu wowote
Shukrani mkuuOk,nikihitaji nitakutafuta.
Naipenda JF
Hamna kwa sasaNataka inch 40 samsung
Hamna kwa sasa
Tcl mkuu pia zi nzuri tu, hata hizi star x zinajitahidi piaIn terms of colour na ubora apart from samsung ni tv gan kwa sasa ni nzuri bila kujali brand
Tcl mkuu pia zi nzuri tu, hata hizi star x zinajitahidi pia