Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Mkuu star x tv zao ni rahisi, nikama tu sim za techno, ila ziko vizuri tu, tofauti hamna hizi nyengine ziko juu kwa sababu ya brand zaoMkuu mbona starx bei chini hivyo?
Hebu nipe tofauti na hizo zingine.
Na pia nipe bei ya za kawaida zake ambazo sio smart
Sina utaalamu na tv hivyo naomba msaada wenu kwani nahitaji kununua sasa hivi,naomba nijuzwe tofauti zilizopo unapoambiwa ni smart tv,led tv,
Thanks
UbarikiweLed tv ni tv nzuri za kisasa ambazo unapata picha nzuri na yenye ubora si mbaya na hata kwenye kula umeme kiasi haili kama LCD,PLASMA na ukija kwenye Smart tv ni tv janja za kisasa ambazo zimeboreshwa zaidi mpaka unaweza stream kwa kutumia tv yako bila ya kuwa na msaada wa kifaa chochote zaid ni intenet yako tu na ku instal apps mbalimbali katika tv yako wakati huku led tv mpaka ufanye mirror cast ila kwa kumalizia kama lugha inapanda walau kwa uchache uki google utapata majibu mazuri zaidi boss
Natafuta T.V., brandy Panasonic, size walau kuanzia 32+, iwe mpya kabisa CHECK NA HAWA JAMAA FREE DELIVERY UNALIPA MZIGO UNAPOFIKA HOME
[HASHTAG]#AMAZINGLIFESTYLETZ[/HASHTAG] TUNAIFUFUA SEBULE YAKO NA VITU VYAKIBABE BRANDNEW & ORIGINAL
#32
STARX=530,000+DVD PLAYER
STARX=499,999 CURVED
SAMSUNG=550,000/750,000(SMART)
LG=550,000/750,000(SMART)
TCL=550,000 SMART
SONY=650,000
#40
SAMSUNG=899,999
SONY=950,000
TCL=850,000(SMART)
#42
STARX=780,000
#43
STARX=799,999
SAMSUNG=1,150,000/1,400,000(SMART/1,600,000(UHD,4K,SMART)
LG=899,999/1,300,000(SMART)/1,400,000(UHD,4K,SMART)
TCL=929,999(SMART)
#49
STARX=1,100,000/1,250,000(SMART)&1,400,000(UHD,4K)
SAMSUNG=1,350,000/1,600,000(SMART)2,000,000(CURVED,UHD,4K,SMART)
LG=1,250,000/1,650,000(SMART)/1,799,999(UHD 4K SMART)/2,400,000(SUHD,4K,SMART&3D)
SONY=1,450,000/1,750,000(SMART)/2,500,000(SMART&3D)
TCL=1,300,000(SMART)
TV ZOTE NI MPYAA ORIGINAL NA BRANDNEW UNAPATA FREE BRACKET&HDMI CABLE PIA NI FREE DELIVERY NA PAYMENT NI ON DELIVERY UNALIPA BAADA YA MZIGO KUFIKA HOME WARRANTY MWAKA MZIMA DUKA LIPO SINZA MADUKANI UNAWEZA KUJA KUCHAGUA NAKUPELEKWA MPAKA HOME KWENU BURE
AKUNA VYAUTAPELI WALA LONGOLONGO INSTALMENT INAKUNALIKA PIA
DUKA LETU LIPO SINZA MADUKANI [HASHTAG]#AMAZINGLIFESTYLETZ[/HASHTAG]
FREE DELIVERY BURE MPAKA HOME TUNAKULETEA NA MALIPO UNALIPA MZIGO UNAPOFIKA HOME
MKOANI TUNATUMA
[HASHTAG]#0654427770[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0710776671[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0769760171[/HASHTAG]
UTATUPATA INSTA KWA JINA LA AMAZINGLIFESTYLETZNEW
LG smart 49' unauzaje?Lg smart tv...inch 42...bei 800000 fixed
Lg nimemaliza mkuu sina smart ya LG ipo smart ya samsung inch 50...njoo PM or nicheck whtsapp no 0629565168 tuyajenge mkuuLG smart 49' unauzaje?
Namba haipatikani mkuu
Ina muda gani imetumika?Samsung LED series 5 inch 40 price 650k fixed.
Mkuu nilinunua kwako Starx32 bahati mbaya watoto wangu wamefanya yao.Sikuwa nimeifunga ukutani.Niliiweka tu kwenye kimeza madogo wamefanya yao,waliidondosha chini mara kadhaa wakaimwagia maji,hapa Sasa hivi najipanga ninunue nyingine.Sasa hivi naifunga ukutani.Mkuu star x tv zao ni rahisi, nikama tu sim za techno, ila ziko vizuri tu, tofauti hamna hizi nyengine ziko juu kwa sababu ya brand zao
Zakawaida
Star x led 43" 630000
Samsung 40" 750000
Lg 43" 780000