Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mkuu mbona starx bei chini hivyo?
Hebu nipe tofauti na hizo zingine.
Na pia nipe bei ya za kawaida zake ambazo sio smart
Mkuu star x tv zao ni rahisi, nikama tu sim za techno, ila ziko vizuri tu, tofauti hamna hizi nyengine ziko juu kwa sababu ya brand zao
Zakawaida
Star x led 43" 630000
Samsung 40" 750000
Lg 43" 780000
 
Sina utaalamu na tv hivyo naomba msaada wenu kwani nahitaji kununua sasa hivi,naomba nijuzwe tofauti zilizopo unapoambiwa ni smart tv,led tv,
Thanks

Led tv ni tv nzuri za kisasa ambazo unapata picha nzuri na yenye ubora si mbaya na hata kwenye kula umeme kiasi haili kama LCD,PLASMA na ukija kwenye Smart tv ni tv janja za kisasa ambazo zimeboreshwa zaidi mpaka unaweza stream kwa kutumia tv yako bila ya kuwa na msaada wa kifaa chochote zaid ni intenet yako tu na ku instal apps mbalimbali katika tv yako wakati huku led tv mpaka ufanye mirror cast ila kwa kumalizia kama lugha inapanda walau kwa uchache uki google utapata majibu mazuri zaidi boss
 
Ubarikiwe
 
Panasonic inch 32 350k fixed.
af52ea3e952c64ba0577707c939edd1c.jpg
 
[HASHTAG]#AMAZINGLIFESTYLETZ[/HASHTAG] TUNAIFUFUA SEBULE YAKO NA VITU VYAKIBABE BRANDNEW & ORIGINAL

#32
STARX=530,000+DVD PLAYER
STARX=499,999 CURVED
SAMSUNG=550,000/750,000(SMART)
LG=550,000/750,000(SMART)
TCL=550,000 SMART
SONY=650,000

#40
SAMSUNG=899,999
SONY=950,000
TCL=850,000(SMART)

#42
STARX=780,000

#43
STARX=799,999
SAMSUNG=1,150,000/1,400,000(SMART/1,600,000(UHD,4K,SMART)

LG=899,999/1,300,000(SMART)/1,400,000(UHD,4K,SMART)

TCL=929,999(SMART)

#49
STARX=1,100,000/1,250,000(SMART)&1,400,000(UHD,4K)

SAMSUNG=1,350,000/1,600,000(SMART)2,000,000(CURVED,UHD,4K,SMART)

LG=1,250,000/1,650,000(SMART)/1,799,999(UHD 4K SMART)/2,400,000(SUHD,4K,SMART&3D)

SONY=1,450,000/1,750,000(SMART)/2,500,000(SMART&3D)

TCL=1,300,000(SMART)

TV ZOTE NI MPYAA ORIGINAL NA BRANDNEW UNAPATA FREE BRACKET&HDMI CABLE PIA NI FREE DELIVERY NA PAYMENT NI ON DELIVERY UNALIPA BAADA YA MZIGO KUFIKA HOME WARRANTY MWAKA MZIMA DUKA LIPO SINZA MADUKANI UNAWEZA KUJA KUCHAGUA NAKUPELEKWA MPAKA HOME KWENU BURE
AKUNA VYAUTAPELI WALA LONGOLONGO INSTALMENT INAKUNALIKA PIA

DUKA LETU LIPO SINZA MADUKANI [HASHTAG]#AMAZINGLIFESTYLETZ[/HASHTAG]
FREE DELIVERY BURE MPAKA HOME TUNAKULETEA NA MALIPO UNALIPA MZIGO UNAPOFIKA HOME
MKOANI TUNATUMA
[HASHTAG]#0654427770[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0710776671[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0769760171[/HASHTAG]
UTATUPATA INSTA KWA JINA LA AMAZINGLIFESTYLETZNEW
 
Attachments

  • 1509343419433.jpg
    1509343419433.jpg
    82.5 KB · Views: 86
  • 1509343769199.jpg
    1509343769199.jpg
    117.6 KB · Views: 89
  • 1509662083472.jpg
    1509662083472.jpg
    41.7 KB · Views: 83
  • IMG_20171028_192951_202.jpg
    IMG_20171028_192951_202.jpg
    329.5 KB · Views: 82
  • 1509931947637.jpg
    1509931947637.jpg
    150.9 KB · Views: 85
  • 1509932319294.jpg
    1509932319294.jpg
    333.2 KB · Views: 91
[HASHTAG]#AMAZINGLIFESTYLETZ[/HASHTAG] TUNAIFUFUA SEBULE YAKO NA VITU VYAKIBABE BRANDNEW & ORIGINAL

#32
STARX=530,000+DVD PLAYER
STARX=499,999 CURVED
SAMSUNG=550,000/750,000(SMART)
LG=550,000/750,000(SMART)
TCL=550,000 SMART
SONY=650,000

#40
SAMSUNG=899,999
SONY=950,000
TCL=850,000(SMART)

#42
STARX=780,000

#43
STARX=799,999
SAMSUNG=1,150,000/1,400,000(SMART/1,600,000(UHD,4K,SMART)

LG=899,999/1,300,000(SMART)/1,400,000(UHD,4K,SMART)

TCL=929,999(SMART)

#49
STARX=1,100,000/1,250,000(SMART)&1,400,000(UHD,4K)

SAMSUNG=1,350,000/1,600,000(SMART)2,000,000(CURVED,UHD,4K,SMART)

LG=1,250,000/1,650,000(SMART)/1,799,999(UHD 4K SMART)/2,400,000(SUHD,4K,SMART&3D)

SONY=1,450,000/1,750,000(SMART)/2,500,000(SMART&3D)

TCL=1,300,000(SMART)

TV ZOTE NI MPYAA ORIGINAL NA BRANDNEW UNAPATA FREE BRACKET&HDMI CABLE PIA NI FREE DELIVERY NA PAYMENT NI ON DELIVERY UNALIPA BAADA YA MZIGO KUFIKA HOME WARRANTY MWAKA MZIMA DUKA LIPO SINZA MADUKANI UNAWEZA KUJA KUCHAGUA NAKUPELEKWA MPAKA HOME KWENU BURE
AKUNA VYAUTAPELI WALA LONGOLONGO INSTALMENT INAKUNALIKA PIA

DUKA LETU LIPO SINZA MADUKANI [HASHTAG]#AMAZINGLIFESTYLETZ[/HASHTAG]
FREE DELIVERY BURE MPAKA HOME TUNAKULETEA NA MALIPO UNALIPA MZIGO UNAPOFIKA HOME
MKOANI TUNATUMA
[HASHTAG]#0654427770[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0710776671[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0769760171[/HASHTAG]
UTATUPATA INSTA KWA JINA LA AMAZINGLIFESTYLETZNEW
1c2dc8aecc93a5e0aac4be92c8b09a45.jpg
 
49(LED)=1,250,000 (SMART)=1,650,000(UHD)=1,800,000 BRANDNEW & ORIGINAL FREE DELIVERY PAYMENT ON DELIVERY FREE BRACKET&HDMI
 
Mkuu star x tv zao ni rahisi, nikama tu sim za techno, ila ziko vizuri tu, tofauti hamna hizi nyengine ziko juu kwa sababu ya brand zao
Zakawaida
Star x led 43" 630000
Samsung 40" 750000
Lg 43" 780000
Mkuu nilinunua kwako Starx32 bahati mbaya watoto wangu wamefanya yao.Sikuwa nimeifunga ukutani.Niliiweka tu kwenye kimeza madogo wamefanya yao,waliidondosha chini mara kadhaa wakaimwagia maji,hapa Sasa hivi najipanga ninunue nyingine.Sasa hivi naifunga ukutani.
 
Back
Top Bottom