Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Duh, pole sana kiongozi, ila nadhani utakua umejifunza kitu, hizi tv ukiwa na watt watundu, ni vizuri uiweke sehem ambayo hawatoifikia kirahi, kama hiyo njia ya kuifunga ukutaniMkuu nilinunua kwako Starx32 bahati mbaya watoto wangu wamefanya yao.Sikuwa nimeifunga ukutani.Niliiweka tu kwenye kimeza madogo wamefanya yao,waliidondosha chini mara kadhaa wakaimwagia maji,hapa Sasa hivi najipanga ninunue nyingine.Sasa hivi naifunga ukutani.
Kabisa mkuu nimejifunza sanaDuh, pole sana kiongozi, ila nadhani utakua umejifunza kitu, hizi tv ukiwa na watt watundu, ni vizuri uiweke sehem ambayo hawatoifikia kirahi, kama hiyo njia ya kuifunga ukutani
480,000 KAWAIDA LEDNatafuta SMART TV STAR X 32 iwe Dar fanya fasta kuniquote
Smart nataka.480,000 KAWAIDA LED
500,000(curved)
DUKA LETU LIPO SINZA MADUKANI
FREE DELIVERY BURE MPAKA HOME TUNAKULETEA NA MALIPO UNALIPA MZIGO UNAPOFIKA HOME
MKOANI TUNATUMA
[HASHTAG]#0654427770[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0710776671[/HASHTAG]
[HASHTAG]#0769760171[/HASHTAG]
FOLLOW PAGE YETU INSTAGRAM @AMAZINGLIFESTYLETZNEW
View attachment 629178
full boxed mini projectors
1 is brand new and the other in mint condition only for 80,000/- (fixed) all of them
kama ni serious buyer nicheki 0625 598055 dsm makumbusho stend
checki image ya box ili uone specifications
Karibu
apana aisee sinami nahitaji kubwa je unazo
Asante kaka, nashukuru kwa ushirikiano wako, Mungu akubariki sana
shukrani kwa mkuu Abdulwahid
nimeipokea tv mapema leo hii asubuhi.
singida.
Unapatikana wapi mkuu..redio kwa internet..hakuna,antena,dish,king'amuz ni MB zako ktk simu kwa mugabe live ni MB zako tu[emoji1] [emoji2] [emoji3] ...ni LG smart tv inch 32....bei ni fixed 580000/= nafikir ITAPENDEZA
Kigamboni...0629565168Unapatikana wapi mkuu