Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Duh, pole sana kiongozi, ila nadhani utakua umejifunza kitu, hizi tv ukiwa na watt watundu, ni vizuri uiweke sehem ambayo hawatoifikia kirahi, kama hiyo njia ya kuifunga ukutaniMkuu nilinunua kwako Starx32 bahati mbaya watoto wangu wamefanya yao.Sikuwa nimeifunga ukutani.Niliiweka tu kwenye kimeza madogo wamefanya yao,waliidondosha chini mara kadhaa wakaimwagia maji,hapa Sasa hivi najipanga ninunue nyingine.Sasa hivi naifunga ukutani.