Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Mi nipo tunduma naenda zambia, nikirudi ntakuja kuiona, ila king'amuzi kwakweli sihitaji.
 
Naomba kuuliza bei ya TV lg au Samsung inches 40 flat screen ni bei series 5 mm Niko Arusha ijumuishe na usafr natanguliza shukrani za dhati
 
mimi ya kwangu imevunjika kioo so tukubaliane ama we uniuzie kioo au nikuuzie motherboard
Mkuu niliipeleka kwa fundi wangu alinibadilishia mashine,nilinunua mashine Kariakoo kwa elfu 90, amefunga kitu kimetulia.Colour yake huwezi amini kama mashine ya mchina.
 
Naomba kuuliza bei ya TV lg au Samsung inches 40 flat screen ni bei series 5 mm Niko Arusha ijumuishe na usafr natanguliza shukrani za dhati
Samsung 40" led seris 5, ni 800000 hadi arusha, lg 42" ni 900000 hadi arusha
 
Ngoje mwisho wa mwezi nitakujulisha mkuu unipe namba yako cmu what's App utanipa details ya upatikanaji wake
 
Samsung smart 32"
Price: 600000
1470755303303.jpg
 
Mkuu hiyo smart 32" nikiipokelea DAR itakuwa bei gani
 
Nina 1m nahitaji smart tv aina nzuri ambayo siyo chichi pipo inch kuanzia 50" iwe mpya.leteni vitu pia nipo wazi kwa idea zenu
 
1.5 M nataka smart Tv brand nzuri na ...mnanishauri brand gani ambayo ni nzuri kwa resolution na mengineyo?
Ni kwa dar
 
weken # zenu we ar in need ov!!!
PCz, externalz, Printers n.k zpooo bei=0.**
 
Back
Top Bottom