Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Ununue TV millioni 75? Huo sasa utakuwa uchochezi wa walionacho na wasionacho
 
Salaam wadau..ninaimport TVs na Home theatres pamoja na vifaa vya umeme kama PS4,nazitoa Dubai.Kama unahitaji waeza nipa specifications nikakupa bei na kujuletea mpaka hapa uaknilipa...bei ni poa kabisa.Mfano LG 55 smart nauza kwa mil 2.4 wakati hapa mjini ni mil 2.8
 
Mkuu mm nataka smart tv inch32 brand ya samsung....kumbuka ni smart tv...!!! Nipe bei
 
Poa mkuu...nakupa muda si mrefu ingawa smart nyingi naona zinaanzia 39 but nakuchekia
 
Salaam wadau..ninaimport TVs na Home theatres pamoja na vifaa vya umeme kama PS4,nazitoa Dubai.Kama unahitaji waeza nipa specifications nikakupa bei na kujuletea mpaka hapa uaknilipa...bei ni poa kabisa.Mfano LG 55 smart nauza kwa mil 2.4 wakati hapa mjini ni mil 2.8
Nipe bei ya ps4 na Smart tv Samsung/Lg inch 40..
 
Salaam wadau..ninaimport TVs na Home theatres pamoja na vifaa vya umeme kama PS4,nazitoa Dubai.Kama unahitaji waeza nipa specifications nikakupa bei na kujuletea mpaka hapa uaknilipa...bei ni poa kabisa.Mfano LG 55 smart nauza kwa mil 2.4 wakati hapa mjini ni mil 2.8
Bajet ya lak6.5 napata TV aina gan na nch ngap?
 
nahitaji TV HD, respectable brand/samsung, Philips, etc from 36'....

I can folk upto Tzs 500,000/=.

Ni Pm specs na bei tufanye biashara
 
Salaam wadau..ninaimport TVs na Home theatres pamoja na vifaa vya umeme kama PS4,nazitoa Dubai.Kama unahitaji waeza nipa specifications nikakupa bei na kujuletea mpaka hapa uaknilipa...bei ni poa kabisa.Mfano LG 55 smart nauza kwa mil 2.4 wakati hapa mjini ni mil 2.8
Nina 700000 nahitaji sumsang ianzie 40 inch, nitapata kwa hyo bei?
 
1472711608031.jpg
 
natafuta sony bravia 46" nipo dsm nitumie picha whatsapp 0713558111
 
Back
Top Bottom