Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

TV yangu Samsung ya Vietnam imevunjika kioo je naweza kukibadilisha?
 
Mm nauza nokia lumia window phones 520 bei maelewana used 1 month's npo mwanza 0753358283
 
Mm nanunua LED TV mbovu ambazo haziwaki ili mladi kioo kiwe kizima napatikana dar 0764870930
Ninayo Hitachi 36" fundi mangungu aliinyofoa power supply akaitelekeza unaweza kuniwashia hii na kwa bei gani?
 
Hii kitu imetulia nina tv 21 sony dungu bei 60000 nipo a town
 
Back
Top Bottom