Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Abdul je kwenye ofisi yako kuna radio? If yes bei ya chini ni bei gan kwa radio kiwango ata Subwoofer speaker? Naomba majibu mkui
 
64af28f2ce555385faee1aacb179dfe7.jpg
ni shi ngapi na inchi ngapi na ipo wapi?
 
Abdul je kwenye ofisi yako kuna radio? If yes bei ya chini ni bei gan kwa radio kiwango ata Subwoofer speaker? Naomba majibu mkui
Radio kiongozi zipo za homtheater tu, ambazo kwa sasa zipo kubwa tu, lg hometheater 500000
 
Hamletagi ndogo zake mkuu naomba na specification na picha za hizo hometheater
 
Tafadhali mkuu naomba zikija unijulishe japo kwa SMS no yangu ni 0763772636
 
Back
Top Bottom