Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samsung smart 48"
Brand new 2015
Model UA48J5200AK
Smart hub
1usb port
2hdmi port
Full hd 1080p
Oudio out port
Price: 1500000
Tupo mtendeni zanzibar
Walio nje ya zanzibar tunasafirisha na utalipa baada ya kupokea mzigo
1480665843925.jpg
1480665859512.jpg

Contact: 0777650286 & 0718919725
 
Mzigo mpaka unifikie bunda jumla ya gharama itakua ngapi Mkuu?
Bunda ipo mkoa gani? Lakini kwa kifupi jumlisha na elfu 50 itakua imekufika, posta hawaangalii umbali wanaangalia uzito, popote nchi utakapotuma nchi 32" hizi led haitozidi 50000
 
Bunda ipo mkoa gani? Lakini kwa kifupi jumlisha na elfu 50 itakua imekufika, posta hawaangalii umbali wanaangalia uzito, popote nchi utakapotuma nchi 32" hizi led haitozidi 50000
So jumla kama 370000 itakuavimeshakufika bunda
 
Lg flat nchi 43 brand 2016 bei gan mkuu naomba na pictr.na tcl smart nchi 43.ahsante
 
Back
Top Bottom