Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Star x led 40"
Price: 500000
47a1fecbf81e8bc8b1bc1f196532dc11.jpg
Nahitaji hiyo TV ela ipo chini Mkuu nipe namba yako kwa mawasiliano zaidi!
 
Tcl INA kingamuzi?
Mi sijui kwann mnaita king'amuzi. Hii smart ina netflix, hulu, fox na mengineyo as long as uko on internet. Kama umemaanisha ile streaming device. Yes ipo ndani.

Mi nimeomba hapo model number maana napata mkanganyiko kwani tcl wana hizi roku.tv na smart nlizoona hata hapa sio roku. Ndo nataka thibitisha hili
 
Back
Top Bottom