Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahitaji Flat inch 24 LED brand yeyote..iwe used au mpya..Tuwasiliane pm.
Ninayo samsung led ina decorder ndani.hdmi port.usb port ka unahitaji

Sent from my GT-I9200 using JamiiForums mobile app
 
Unauza kiasi gani

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Nitakuuzia 260 kama uko serias watsap natumia 0716192233 naweza kukutumia picha tufanye biashara


Sent from my GT-I9200 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nijichange nije kupata kitu

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Unajua unachokisema?
Smart tv sio aina ya tv bali ni technologia au niseme ni nini inaweza kufanya. Halafu laki 3?
Hebu ingia yutube jifunze uje!!

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
ASANTE KWA KUNIJUZA ME SI MJUZI WA TV BUT NAHITAJI SMART TV ONLY...
 
Tcl smart tv 32"
Price: 420000
9ada9183c39c1f6aef118e9bf8b1d008.jpg
542714d4cb896af2c8f0a33b25f94097.jpg
d3547476598cb050e59f5d18ab97324d.jpg
2b7b661c1c13c4978f366239466a45af.jpg

Contact: 0777650286 & 0718919725
 
Sawa mkuu nimekulewa namba yako nimeichukua tutawasiliana
brother be care uletewe mzigo mpaka home...m nmenunua mzigo kwa jamaa huyo akaahid ntaletewa hadi home ulipofika bandarin agent wake akanambia nikauchukue.nikaona sio kesi...mzigo ulikua na thaman ya 850k akanambia niongeze 100k....nilipochukua mzigo nikapewa risit haijalipiwa TRA....nikakamatwa na polis kumpigia sim agent akapokea akanambia nimalizane na askari watanirudishia pesa yangu m nikawapoza askari 60k. nilipompigia sim anirudishie pesa zangu aliniruka abdulwaheed mwenyewe ...so be care....kama ni uongo aje anipinge na mzigo ulikua tv star x 50 inches
 
Back
Top Bottom