mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
nina laki tisa fanya hima tumalize biashara1250000/=..inch 50 smart tv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nina laki tisa fanya hima tumalize biashara1250000/=..inch 50 smart tv
Mkuu hii LG imeuzwa mchana wa leo....imebaki hio samsung smart 40 inchnina laki tisa fanya hima tumalize biashara
Mkuu naomba picha za inch 43 lg alafu Niko dar es salaam taratibu za usafirishaji zikojeOffer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
Uwe makini mkuu, ukiletea tupe mrejesho.... yaani hapa dalili zoote za upigaji zimejipambanuaMkuu naomba picha za inch 43 lg alafu Niko dar es salaam taratibu za usafirishaji zikoje
Ni kwel mkuu ngoja niongeze umakiniUwe makini mkuu, ukiletea tupe mrejesho.... yaani hapa dalili zoote za upigaji zimejipambanua
Mkuu hapa hatutaki utapeli. Na Kule kupatana Nakuona Sana. Kuweni makini Na huyu mtu.Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
usithubutu ndugu huyo jamaa inasemekana ni tapeli ana nyuzi zake nyingine zitafute zitakusaidia usilizwe.Mkuu naomba picha za inch 43 lg alafu Niko dar es salaam taratibu za usafirishaji zikoje
Mkuu nisingeweka shekeli yangu kamwe Bila kuthibitisha ili nimemfuata watsap tayari ameshanipa wasiwasi wa kutosha hivo siwezi thubutuusithubutu ndugu huyo jamaa inasemekana ni tapeli ana nyuzi zake nyingine zitafute zitakusaidia usilizwe.
sawa hakuna tatizo.Mkuu nisingeweka shekeli yangu kamwe Bila kuthibitisha ili nimemfuata watsap tayari ameshanipa wasiwasi wa kutosha hivo siwezi thubutu
Bado mzigo upoSamsung smart inch 40...bei 800000![]()
![]()
![]()
Inaweza ku connenct na simu wirelessMkuu nicheck whtsapp tutete
Mkuu sor nilikuwa na majukumu ya kifamilia njee ya dar....huwa zinaconnect na wiress unawaz ata kufungua ktk simu ukacconect na tv...ila hio samsung imepata mtu...jumatatu naweza kupata item nyingne smart nitaileta jukwaan or utanicheck whatsappInaweza ku connenct na simu wireless
Babu embu acha hizo maisha magumu watu wanataka item za kwenda kutumia nyumban na familia zao..kwanin unataka kuibia watu? Embu tafuta mitandao ya kuibia watu sio humu ndani...na pia usitumie jina la zanbr kufanyia utapeli wako...Offer ! Offer !offer
ZANZIBAR GENERAL SUPPLY
wanakuletea punguzo la bei katika Msimu huu kama ifuatavyo!
Pata LG au SAMSUNG 43 Inches Led Smart Tv for only 450,000 tshs
[HASHTAG]#specifications[/HASHTAG]
.HDMI SUPPORT
.Built decoder
.wifi support
.usb ports etc
Tunapatikana Malindi mjini Zanzibar
[HASHTAG]#Wakazi[/HASHTAG] wa Zanzibar unaletewa popote ulipo bure/Tanzania bars tunatuma baada ya malipo kwa usalama na uaminifu mkubwa.
#NB one year warranty
[HASHTAG]#cont[/HASHTAG] 0712986773
Mkuu huyo jamaa ni bwege sana then utapeli wake wa kizamani sana...juzi kati nilimtega nataka hometheart nikiwa nipo zanzbr ananielekeza sehem ambayo hakuna duka...hizo hometheater zanzbr zima palikuwa hakuna na ukiipata basi ni laki 6..ili lijamaa linasema anzo kwa 380Hahhaha hatare@ mjushi