Athumani Kawambwa
Member
- Sep 22, 2017
- 9
- 2
Nitumie namba zako nikutafuteNami ninayo used sony tv inchi 21 nataka elfu 50 tu fasta kwa picha ni pm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie namba zako nikutafuteNami ninayo used sony tv inchi 21 nataka elfu 50 tu fasta kwa picha ni pm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
.Mkuu hapa hatutaki utapeli. Na Kule kupatana Nakuona Sana. Kuweni makini Na huyu mtu. View attachment 606955View attachment 606962
Huenda akawa hata siyo mzanzibar anatumia ule uaminifu wa wazanzibar kutapelia watu, jinga kabisa hili. subiri siku uingie kwenye 18 za wanaume tukutie pili piliza mkyundu ndio utaelewa.
Huyu mzanzibar ni kweli tapeli huyu kuna siku namuuliza kuhusu bidhaa anajibu majibu ya ukali ndio nikajua huyu Tapeli ukiuliza sana kuhusu hali ya bidhaa au kama uko dar malipo yanakuaje ana kuwa mkali sana na hajiamini.
Vip Used ni bei ganiWadau watakuwa wamekupata mkuu..item zangu ni used tu
Inch ngap mkuu unataka used?Vip Used ni bei gani
32 mkuuInch ngap mkuu unataka used?
Ipo hio 32 Led LG32 mkuu
Oya hii used auView attachment 593367View attachment 593368inch 46 samsung LCD.....bei 850000
0653120881 ntumie inchi 46 niioneDsm sema unaitaji ni pm namba yako nikutumie picha
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Ya maboksi auNina elfu 30 natafta tv ya kuanzia nch,21 panda juu arusha au mosh
ni cheki kwa no 0716917896Nauza tv samsung inch 24 led na remote used ila imenyooka
Av
Usb support
Vga
Hdmi
300000sh na maongezi yapo ni pm.
![]()
Bei gani mkuuIpo hio 32 Led LG..nicheck whtsapp 0629565168![]()
Nauza tv samsung inch 24 led na remote used ila imenyooka
Av
Usb support
Vga
Hdmi
300000sh na maongezi yapo ni pm.
![]()
Laki 4Bei gani mkuu