SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
Led toshiba tv invh 46...bei 800000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Natafta TV lg au Samsung nchi 40 kuendelea bei isizidi 600,000 HDMI, pia mtumba sio mbaya Niko songea
![]()
![]()
Haier smart tv 40"
Brand new 2017
Price; 650000
Contact : 0777650286 & 0718919725
Kuna mtu ngoja nikuchekie ninahisi anaeweza kukusaidiaMkuu naweza kupata kioo cha Haier 50"(replacement)
Mkuu TCL ambayo ni smart ya nchi 40 inasimama ngapi?Led LG inch 42...bei 700000![]()
Cc: abdulwahidMkuu TCL ambayo ni smart ya nchi 40 inasimama ngapi?
Pamoja bossCc: abdulwahid
Mcheck jamaa [emoji115] hizo siuzi kabisa
Mi sina kwa sasa hiyo tv kiongozCc: abdulwahid
Mcheck jamaa [emoji115] hizo siuzi kabisa
Nahitaji TV LED inch 43,,, Iwe LED
Budget yangu 630,000/=, nipo DSM.
SALUM S HEMED , Algeciras , Abdulwahid
Kuna mtu ngoja nikuchekie ninahisi anaeweza kukusaidia
Nilikujibu onboxMkuu, umesahau kumchek huyo jamaa.
mkuu huo mzigo hapo unaspecification zip?