Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Attachments

  • IMG-20180416-WA0001.jpg
    IMG-20180416-WA0001.jpg
    63.3 KB · Views: 55
  • IMG-20180416-WA0002.jpg
    IMG-20180416-WA0002.jpg
    67.8 KB · Views: 55
  • IMG-20180416-WA0000.jpg
    IMG-20180416-WA0000.jpg
    76.6 KB · Views: 56
Nauza motherboard ya Samsung tv model LA32C4501E,32',ikiwa full na housing yake na display plus power supply,inawaka inaonyesha clear picha kwa dakika si zaidi ya 30,kisha inakuja mistari mistari na kuharibu muonekano wa picha...bei ni 200K or exchange with any electronic devices.Napatikana katika namba hii 0620688865
 
Naitaji tv nchi 40 njoo na bei za rais wenu iwe lg au samsung au hicence au sony bravia
 
Back
Top Bottom