Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

IMG-20180430-WA0002.jpg
star x led tv inch 55"
1.200.000/
0713662655
 
Wakuu nahitaji TV 32" iwe na HDMI out na iwe na uwezo wa kusoma Dolby, DTS kwa Flash. Pesa ipo sio ya kubangaiza. Na kama una home theater yenye HDMI in yani naitafuta sanaaaaaaaaaaaaaa pesa ipo nawwza ghaili hata kununua TV ( Zingatia izo HDMI in/out) kama zipo port zote mbili poa au kama ipo moja lakini inafanyakazi interchangeably poa pia
 
32 toshiba lcd..usb port, hdmi, vga, audio ports..bei 350000View attachment 762407
Kaka nimependa products zako... Duka liko wapi exactly nifike? Mimi nahitai flat screen 55' and above iwe LG, Samsung, Sony, Panasonic, 4k(must). Iwe mpya, used sitaki maana ni sawa sawa na kununua ugonjwa wa moyo. Price ina rangejije? Drop na no yako kabisa.

-callmeGhost
 
moroco hotel magomeni mkuu mpya zipo inch 55 curved samsung zinapatika posta samora nicheck 0629565168....
 
Nahitaji Samsung Curved Smart TV kuanzia inchi 49/Series 7, zinapatikana kwa bei gani na wapi? Nataka mpya

Nataka niangalie World Cup kwa raha!
bei M1.8 inch 49 curved series 7 mpyaa na two years warranty
IMG-20180503-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom