Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,299
Mkuu una bruhm tv 39''32 led samsung series 5 super slim..bei 450000/=View attachment 793303
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una bruhm tv 39''32 led samsung series 5 super slim..bei 450000/=View attachment 793303
hapana mkuu sinaMkuu una bruhm tv 39''
Vipi kuhusu ubora wake kama unafahamu?hapana mkuu sina
kiukweli mkuu sina nachokijua naziona tu sijawai hata kuisogeleaVipi kuhusu ubora wake kama unafahamu?
Hahaha....mkuu umenifanya nicheke. Asante mkuu nitafuatilia zaidi.kiukweli mkuu sina nachokijua naziona tu sijawai hata kuisogelea
poa mkuu pamoja sanaHahaha....mkuu umenifanya nicheke. Asante mkuu nitafuatilia zaidi.
popote ulipo unaletewa kwa 2500000/= hio hapo samsung 4k inch 55 and 2years warrantyCku mukiweka 4k kuanzia inch 49/55 ndio nitanunua. Saiz roho yangu ipo 4k tu
hisense inch 48 bei 900000/= nakuja kukufungia ukutani bure na stendi ya ukutani bureMie nahitaji Hisense
umepata bei 2000000/=TCL P Series 55" 4K UHD inauzwaje? Hasa series (55P607) na bei yake
mkuu nadhani nilale sasa maana hiyo bei wala sikutegemea kubwa kupita kawaidaumepata bei 2000000/=
ukiamka njoo dukani mkuu uchukuemkuu nadhani nilale sasa maana hiyo bei wala sikutegemea kubwa kupita kawaida
kwa bei hiyo sitoweza mkuuukiamka njoo dukani mkuu uchukue
nimeku pmukiamka njoo dukani mkuu uchukue
duh pole mkuu ila TCL unayoitaji ni 4k smart with Roku na imetoka 2017 sie tunaipata zaid ya $650 bado aijawa transit ila nitajaribu kwa kesho kukchekia kwa wadau wengine hio model ila njoo pm unipe bajeti yako or nitext 0629565168 pale dukan kwetu uwezi kuipata chini ya 1950/=kwa bei hiyo sitoweza mkuu
oke poa acha nichecknimeku pm
Curved hapanapopote ulipo unaletewa kwa 2500000/= hio hapo samsung 4k inch 55 and 2years warrantyView attachment 793345View attachment 793349
oke mkuu niambie unataka 4k ya aina gani na kampuni gani na bajeti yako kiasi gani tuimalize hio biashara leoCurved hapana