Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hisence smart 40"
Bei 600000
IMG-20190531-WA0012.jpeg
IMG-20190531-WA0008.jpeg
IMG-20190531-WA0010.jpeg
IMG-20190531-WA0011.jpeg
IMG-20190531-WA0009.jpeg

0777650286, 0718919725
 
TCL yangu 55" imevunjika kioo. Mashine ni nzima kabisa. Naomba anayeuza kioo ani PM tuongee biashara
 
0657399561 mtafute huyo mshkaji ni maagent wa tcl bongo, wakipakia tv za tcl wanapakia na vioo vya spear
TCL yangu 55" imevunjika kioo. Mashine ni nzima kabisa. Naomba anayeuza kioo ani PM tuongee biashara
 
Mpya zipo nchi 32 samsung tunakutumia. Bei 460,000 mpaka inafika arusha.

Mtumba zipo samsung na lg:
Nchi 32 - 380,000 mpaka arusha
Nchi 37 - 480,000 mpaka arusha
Nchi 42 - 500,000 mpaka arusha

Hizi za mtumba mtu asipokwambia unaweza zani ni mpya kwa jinsi zilivyo na hali nzuri. See sample photo attached.View attachment 1084034View attachment 1084035
Mwanza vipi kuzipata hizo?
 
[QUOTE="Abdulwahid, post: 31661761, member: Aya mkuu ila kwa uzoefu wako je Kati ya hiyo hisense smart na tcl smart ipi ni Bora kuliko nyingine ili nifanye maamuzi
 
Back
Top Bottom