smarphoneseller
Senior Member
- Apr 27, 2019
- 150
- 114
Mkuu unaweza kupunguza Nina laki 5.Niko mwanza
mkuu mpya hio tv ipo kwenye box ...43inch tcl smart hio ni ndogo sana coz madukan ni 800 kupanda
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaweza kupunguza Nina laki 5.Niko mwanza
Poa poa.unaweza nitafutia usedmkuu mpya hio tv ipo kwenye box ...43inch tcl smart hio ni ndogo sana coz madukan ni 800 kupanda
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ipo LG size 24Mwenye smng inch 25 aliyepo mwanza ani pm nina laki tatu kamili. Tarehe 30 nitkuwa mwanza kuichukua
Nahitaji Flat 42 inch (sont au Lg) na iwe LED , HDMI port na current versionWeka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni
Poa poa.unaweza nitafutia used
Poa mkuuhapana mm nliagiza izo mbili tu from china nmeuza moja bado moja
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakushauri singsang usichukue kwabei hiyo utajichoma mwenyeweNahitaji TV 40' nina 600k kampuni ya Sumsang, Singsang,Sonny kati ya hizo NB.Iwe ni dukani tu ikiwa na warrant.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikikufaa tcl smart au hisense smart niambieNahitaji TV 40' nina 600k kampuni ya Sumsang, Singsang,Sonny kati ya hizo NB.Iwe ni dukani tu ikiwa na warrant.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza tv yangu 32 inch.
Ina miezi mitano tu
Nauza kwa dharula
Lete offer yako nikuachie ndugu.
Contact : 0737265741View attachment 1310879View attachment 1310882
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hisense bado zipoHisense smart 32"
Mzigo ndo kwanza mbichi usikuu huu ndo tumetoa na kueka storeView attachment 1300646
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1310736View attachment 1310737View attachment 1310738
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ninayo LG inch 43 Hd Led kama unahitaji nicheki 0758291272Mi nataka flat screen inch 42 samsung hd led