Mwanza pia kuna potential kaka, geita, shinyanga, bukoba, simiyu, tabora, uja mwanza kununua bidhaa, japo ni mbali lakini nawahakikishia kwa hizi bei mtafanya kazi, huku TV tunapigwa sanaWaungwana tumeongeza mikoa ya kulipa on delivery ambayo ni Dodoma, Lindi naTanga
Hivo kwa sasa wadau wote walio Dar, Morogoro, Singida, Mtwara, Lindi, Tanga, Dodoma na Mbeya, unaweza kuagiza Mzigo ukalipa baada ya kupokea na kukagua mzigo wako
Tunawarahisishia mambo ktk kipindi hiki ambazo wezi na matapel wa mtandaoni wemekua wengi, Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app