Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Inaonesha Hisence TV inauza sana na imekuwa kimbilio la wengi, mliotumia mnaweza kutupa mrejesho japo tu ubora wa picha ili nasi tukwapue.

Saa zingine mapapa kina LG na SONY wanatukamua pesa nyingi mno, halafu usikute tofauti hakuna au kama ipo ni kidogo tu... tupeane siri ya urembo.
 
Ni ngumu kupata maelezo kwa uhakika inategemea a na uzoefu wa mtu. Kwa upande wangu kiasi fulani ziko poa. Nilinunua mwezi wa nne mwanzoni picha iko vizuri, tatizo lake ni kwenye remote haziko vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu, nimeuliza hivyo kwa kuwa mimi nimekuwa mdau wa hizi TV za ‘mchina’ na sijawahi kujuta.

Nilianza na TCL hadi Evvoli, kwa sasa nipo na GoodVision na bado nafaidi tu kwa bei chee... natamani nijilipue Hisence 55” itajulikana mbele kwa mbele.

Ila kwa sasa GoodVision ni kama napata kila kitu, japo ‘wanga’ wanasema eti mchawi DsTV ndo kanipiga upofu.

Vipi kwenye visimbuzi vingine mambo sio mcharo.?

Abdulwahid
Naweza kujipatia GoodVision 55” FullHD (double glass) kwa bei gani.?
 
Sina hizo tv mkuu, na huku.Zanzibar sijawahi ziona

Kutoka Mtendeni Zanzibar hadi Mbeya
Tcl smart Android 43" kwa mdau Mbeya
Ametaka alipie baada ya kupokea mzigo
Kwetu si tatzo, atalipia baada ya kupokea mzigo
Karibuni wana Mbeya, agiza chochote ulipie baada ya kupokea mzigo wako
0777650286/0718919725
IMG_20200522_162553_155.jpeg
IMG_20200522_162553_157.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom