Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Hii kitu bei gani?

LG-LK72B MULTMEDIA SPEAKERS
Screenshot_20200708-173132.png
 
“Star X hakuna feki wala original”. [emoji848]
1. Spea zake zipo za kutosha mkuu? 2. Ziko vizuri lakini mkuu? 3.Halafu mnapatikana wapi?

Nahitaji TV nzuri bajeti yangu ni Tshs 300000-500000/=
 
Back
Top Bottom