Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hzi wanauza kariakoo 550,000 ila kama unaagiza ni around 320,000 ila kama mtu atakuagizia atakucharge kuanzia 380-450.TCL inchi 32 ni shiling ngapi?
Na smart yake inaenda kwa ngapi?
Hzi wanauza kariakoo 550,000 ila kama unaagiza ni around 320,000 ila kama mtu atakuagizia atakucharge kuanzia 380-450.
Hzo ni smart(android)
TCL 4K UHD 75'
Hissence 4K UHD A 8 series 75'
Samsung TU8000 Crystal UHD 65'
bei gani hizi. Nijilipue moja.
Hzi wanauza kariakoo 550,000 ila kama unaagiza ni around 320,000 ila kama mtu atakuagizia atakucharge kuanzia 380-450.
Hzo ni smart(android)
Hivi, hizi A6, A7 na A8 ipi inakuwa the best kati ya hizo series please...?
Upo wapi ??View attachment 2309764zunne 32 inch double screen 270k
TU8000 65" 2.4mTCL 4K UHD 75'
Hissence 4K UHD A 8 series 75'
Samsung TU8000 Crystal UHD 65'
bei gani hizi. Nijilipue moja.
NdioHii ni 4K mkuu.
boss nimechukua inch 65 kwa 1.7M (hisence hiyo hiyo) unayouza hiyo beiHISENSE UHD SMART 4K INCH 65 NI 2050000
Mwenye Hisense smart 32' bei ya tozo anishtue nimekaa pale..boss nimechukua inch 65 kwa 1.7M (hisence hiyo hiyo) unayouza hiyo bei