Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huu ni uzi maalumu unaojumuisha maisha yote ya kale tuliyoyaisha ,mashujaa wetu wa enzi hizo visa vyao na burudani kwa ujumla.
Karibuni .
Karibuni .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unamkumbuka Power Mabula?Huu ni uzi maalumu unaojumuisha maisha yote ya kale tuliyoyaisha ,mashujaa wetu wa enzi hizo visa vyao na burudani kwa ujumla.
Karibuni .
View attachment 2747957
ChaiHuu ni uzi maalumu unaojumuisha maisha yote ya kale tuliyoyaisha ,mashujaa wetu wa enzi hizo visa vyao na burudani kwa ujumla.
Karibuni .
View attachment 2747957
Uhuhuhuhhhh
Zote nilishazitumiaChagua coin ambayo kwa umri wako uliwahi kutumia View attachment 2749119
Kabisa....nimemkumbuka bibi alikuwa akipika nyama anakata mapande makubwaMABIBI WA ZAMANI WALIKUWA SIO WACHOYO...WALIKUWA WANATUPENDA KUTOKA MOYONI!! HAPO NI MDA WA KULA UGALI...ILIKUWA KILA MTOTO NA BAKULI LAKE LA MBOGA.
View attachment 2748909