Special Thread Ya Ku'screen shot Simu Yako Tuone Applications Za Kijanja Unazotumia.

Special Thread Ya Ku'screen shot Simu Yako Tuone Applications Za Kijanja Unazotumia.

Dah kila nikitaka kupandisha mzigo unagoma.
Imoo
Screenshot_20190920-120834.jpeg
Screenshot_20190920-120915.jpeg
 
Naona Badoo imepigwa promo sana JF, lakini katika screenshots zote zilizotumwa hususani za mabaharia, sijaiona hiyo ya Badoo.
 
Nilijua tuu lazima unifuate Reddit. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nitakuwa sikunangi tena kule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Cute... kumbe we ni mlokole
Hapana si mlokole, ila ni mtu ninayesali/kufanya ibada. Naamini katika kuhudhuria ibada, na kusali na kujifunza na kulielewa neno la Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: Paa
Tatizo nikiscreenshot apps zangu sikawii kuitwa mdukuzi, mfano Nina termux ambapo humo nimeshfanya yafuatayo:
apt install && apt upgrade
pip install beautifulsoup4
Nmap -- script vuln (sisemi)
python2 slowloris.py https://(sisemi)
Na mengineyo, am ol 'bou hacking
 
Ambao simu zetu ukijribu kuscreenshot inajizima na kujiwasha yenyewe tunapita kimya kimya
 
Back
Top Bottom