Special thread ya waliokosa mkopo kuelekea Wizara ya Elimu ijumaa

Goodvision

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
858
Reaction score
467
Heshima kwenu wana JF,

Mosi,nianza kwa kuwapongeza wote waliochaguliwa kujiunga na masomo ya elimu ya juu.Wale waliokosa msikate tamaa tuko pamoja nanyi na jaribuni tena na tena..
Pili,niwapongeze wote waliobahatika kupata mkopo kwa asilimia yoyote.
Tatu,nawapa pole wote waliokosa mkopo.
Kama baadhi ya thread zilizomo humu zinazoelezea kuhusu wale wote waliokosa mkopo ikiwemo wa priority kwa masomo ya sayansi na kitivo cha elimu KUELEKEA WIZARA YA ELIMU SIKU YA IJUMAA TAREHE 04.10.2013 ili kupata maelezo sahihi ya kilichotokea hadi wa priority kunyimwa mikopo.
Nne,ewe mwanachuo mwenzangu popote pale ulipo kama unauwezo wa kufika dar/wizara ya elimu tafadhali naomba ufike pale bila kukosa kudai haki zetu,mwambie na mwenzako.

With regards.

REMEMBER: "THE FUTURE BELONGS TO THOSE WHO PREPARE IT FOR TODAY"-MALCOM X
 

I'll be thea
 
Acheni ujinga madogo,kaa na wazazi wako ili ujue utaishi vp huko chuo tena uwe mnyenyekevu ili kupata msaada kwa ndugu na marafiki ili ukifika chuo ujipange kuappeal tena unaweza kupata ila ukijitutumua kupambana na serikari hakika hutoiweza ila tumieni uwezo wenu wa kidato cha 6 ili kujinufaisha na chochote ili mupate sent za kwenda chuo
 

Wewe acha kuwatisha watu kuna mtu amesema anataka kushindana na serikali? Si wanadai haki zao
 
Tunaheshim mawazo but next time usijadili yasiyokuhusu. Kwani unaweza tukanwa bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…