Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ngorongoro Kati ya Serikali na Wamasai. Nini chanzo na hatma ya mzozo

mkushite

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
666
Reaction score
1,619
Habari ndugu Watanzania,

kuna sintofahamu kubwa inayoendelea huko Ngorongoro katika jamii ya Wamasai kuwa na mgogoro na Serikali.

Tuelimishane hapa kwenye huu Uzi kwa wale wenye uelewa wa huu mzozo na tuondoe sintofahamu iliyopo kwa Watanzania kuhusiana na huu mgogoro.

JE, nini chanzo Cha mgogoro na hatima yake ikoje?
 
Mwekezaji moja mwenye $1bn ni muhimu kwa afya ya uchumi wa tanzania kuliko kabila zima la wa masai, hilo ni suala la uchumi serikali imeona mbali, masai waende handeni hamna namna
 
Inapendeza nchi kufunguliwa #KaziIendelee
 
Mwekezaji moja mwenye $1bn ni muhimu kwa afya ya uchumi wa tanzania kuliko kabila zima la ma masai, hilo ni suala la uchumi serikali imeona mbali, masai waende handeni hamna namna
Na wewe umelamba ngapi kwenye mgao wenu?
 
Hii inshu,wamasai wangepewa elimu ya kutosha.
 
Ngorongoro hakuna mgogoro wala sintofahamu yoyote. Maisha yanaendelea kama siku zote.

Huu upuuzi ulioandika hapa unakufaidiaha nini?

Tafuta hela uwe bize na miradi yako.
 
Mwekezaji moja mwenye $1bn ni muhimu kwa afya ya uchumi wa tanzania kuliko kabila zima la wa masai, hilo ni suala la uchumi serikali imeona mbali, masai waende handeni hamna namna
Kumbuka zinatumika 75B kuwahamisha
 
Back
Top Bottom