Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER (Russia + Wagner) na ECOWAS (France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa NIGER (Russia + Wagner) na ECOWAS (France + Nato + USA). Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo yote yanaangukia katika muktadha huo huo wa umasikini. Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuuwawa kwa kupiga risasi na watu wasiojulikana (People with no identity) baada ya kuandika kitabu kilichobeba jina "How Europe Underdevelops Africa" jamaa alikuwa anaitwa "Walter Rodney" kama sijakosea.
Huyo mwandish ni wa wap
 
Niger’s new military rulers on Wednesday accused France, the country’s traditional ally, of having “unilaterally freed captured terrorists,” a term used for jihadists, and of breaching a ban on the country’s air space.

They claimed that France released a number of jihadists, who then gathered to plan an attack on “military positions in the tri-border area,” a hotspot region where the frontiers of Niger, Burkina Faso and Mali converge.

“Events of an extreme gravity are unfolding in Niger as a result of the behaviour of the French forces and their accomplices,” according to the statement issued by the new regime, called the National Council for the Safeguard of the Homeland (CNSP).

The statement reported that a unit of the armed forces had come under attack on Wednesday, although it did not directly link this with France’s alleged release of the jihadists.

A position held by the National Guard in a locality called Bourkou Bourkou, 30 kilometres (18 miles) from a gold mine at Samira in western Niger, came under attack at 6:30 am (0530 GMT), it said.

“At present, the toll is not yet known.”

The statement called on the security forces to “raise their alert level across the country” and on the public “to remain mobilised and vigilant.”

The regime also accused France of having allowed a “military plane” to take off Wednesday from neighbouring Chad, which then crossed into Niger, defying a ban imposed on Sunday.

The aircraft “deliberately cut off all contact with air traffic control on entering our air space,” from 6:39-11:15 am (0539-1015 GMT), it said in a statement read on national TV.

France has around 1,500 troops in Niger, supporting the country in its fight against jihadists who swept in from Mali in 2015.

But relations broke down after French ally President Mohamed Bazoum was toppled by members of his guard on July 26.

The regime’s accusations come on the eve of a summit by the West African regional bloc ECOWAS on how to tackle the Niger crisis.

ECOWAS — the Economic Community of West African States — had given the coup leaders until Sunday to reinstate Bazoum or face the risk of military intervention.

AFP
 
Hayo yote yanaangukia katika muktadha huo huo wa umasikini. Kuna mwandishi mmoja aliwahi kuuwawa kwa kupiga risasi na watu wasiojulikana (People with no identity) baada ya kuandika kitabu kilichobeba jina "How Europe Underdeveloped Africa" jamaa alikuwa anaitwa "Walter Rodney" kama sijakosea.
Angebaki tu kuendelea kufundisha UDSM baada ya Nyerere kumpa ile fursa, kurudi kwake Guyana ndiyo ikawa mazima
 
The military leaders in Niger who seized power in a coup in July have formed a new government, according to a decree read out on national television on Thursday.

Newly appointed Prime Minister Ali Mahaman Lamine Zeine will lead the 21-member government with generals from the new military governing council heading the defence and interior ministries.
 
Mkuu, hivi (Guyana - Anglophone alafu Guiana - Francophone), nipo sahihi hapa??
Guyana ni nchi huru ingawa ni Anglophone kwa kuwa ni English speaking country na culturally pia, wakati Guiana wale Francophone yes, ila pia ni overseas French department, yaani ni sehemu ya Ufaransa iliyo nje na mbali ya Ufaransa. Kama ilivyo Mayotte, ipo karibu na Msumbiji na Tanzania lakini ni sehemu ya Ufaransa. Hiyo inatufanya kati nchi Majirani zetu Tanzania, Ufaranza kuwa ni moja wapo. So we should watchout au tutumie fursa.
 
Guiyana ni nchi huru kama ingawa ni Anglophone kwa kuwa English speaking country na culturally pia, wakati Guiana wale Francophone yes, ila pia ni overseas French department, yaani ni sehemu ya Ufaransa iliyo nje na mbali ya Ufaransa. Kama ilivyo Mayotte, ipo karibu na Msumbiji na Tanzania lakini ni sehemu ya Ufaransa. Hiyo inatufanya kati nchi Majirani zetu Tanzania, Ufaranza kuwa ni moja wapo. So we should watchout au tutumie fursa.
Asante kwa ufafanizi brother.

Huwa ninapenda sana kufuatilka documentaries za French decolonization kwenye TV ya Al Jazeera ndio nikakutana na Guiana, Martinique, Guadeloupe and Reunion Islands.
 
Bila Shaka Rússia ina mkono wake ktk mapinduz haya km sijakosea
Ha ha ha ,nawaza kimasihara.
Na Russia wala Haina shida na Rasilimali za Niger wala west Afrika wala Afrika,kwa sababu Kila kilichopo Niger kipo Russia,Tena kwa wingi zaidi.

Russia inachota TU huko Niger ni kumwaga mboga.
Kwa sababu west wameshamwaga ugali.
 
Back
Top Bottom