LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Zote ni program za freemason. Lengo la covid ilikuwa ni kuongeza idadi ya watu kuzimu. Kuna idadi waliyoitaka imetimia.
Lengo la kutengeneza ukimwi kuzimu Ili kuwapeleka kuzimu vijana wengi sana yaani wengi wafe haraka wangali vijana kabla ya kufikia umri wa utu uzima.
Zote ni program za freemason. Lengo la covid ilikuwa ni kuongeza idadi ya watu kuzimu. Kuna idadi waliyoitaka imetimia.
Lengo la kutengeneza ukimwi kuzimu Ili kuwapeleka kuzimu vijana wengi sana yaani wengi wafe haraka wangali vijana kabla ya kufikia umri wa utu uzima.
Kwahiyo mkuu wetu unatakaje yaani?
 
Alafu kingine ukijaribu kuangalia kiuhalisia bila ushabiki utagundua ya kwamba Urusi hatumii nguvu kubwa sana kwenye hivi vita bali anatumia nguvu za wastani hata mashambilizi ya anga sio makali sana, nadhani ana hofia mauaji ya raia yatakuwa makubwa.
Hatumii nguvu kubwa kivipi?....au sababu hajatumia nuclear?
Gharama ambayo angeilipa Urusi baada ya NATO kiweka base zake Ukraine ni zaidi ya mia ya atakaye zilipa kwenye vita na Ukraine.
Hata ungekuwa ww mkuu ungefanya alicho kifanya Putin.
Kwani kilikuwa hakuna mbinu zingine za kuizuia Ukraine kujiunga Nato mpaka Vita?.

Hii Vita itaifanya Nato kujiimarisha zaidi huko Ulaya mashariki hasa kwenye mataifa yaliyokuwa chini ya ushawishi wa Ussr.
 
Russia na kiwebsite chao cha RT.com ukisoma habari kwao mara mbili ukirudi mara ya tatu wananza kukuambia"We have registered suspicious traffic coming from your network. Using this page, we will be able to determine that you are not the robot. Wakti maBBC, Maaljazeera huko hawana hizi mambo kweli. Kwa kifupi mrusi alidhani myukreni mlaini kama pamba sasa kakutana na upinzani ambao hakuutarajia zile siku za mwanzo Putin alikuwa anabweka hatarii sasa hivi kidogo kafunga mdomo wake,
Kinachoendelea kwa sasa ni kupiga chini mitandao mingi ya Russia... Nawakubali sana RT, hawana ubaguzi katika kuleta updates za kinachoendelea... Wameshapigwa ban youtube na baadhi ya video zao zimeondolewa... Jamaa wanabalance habari... Sio kama akina aljazeera na bbc
 
Hivi nyie mnavuta bange za wapi....?

Marekani and the allies walitumia miezi mingapi Libya.? Ka nchi ka Africa... na Iraq je.??? Haya kimewakuta nini Syria.??

Na hapo haendagi pekeyake lazima aweke neno the allies..

Nyie subirini kichapo..

acha kuiongelea marekani kwasababu kwa mujibu wenu marekani ni dhaifu na Nato kwa ujumla.
hapa tunaongelea nchi yenye uwezo mkubwa wa kupiga nchi zote za nato kwa wakati mmoja.
 
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164


MUNGU Ibariki Tanzania
Kalibakwa sijui sasa kanaona labda kila mwanaume mbakaji
 
wengi humu ni timu urusi na timu america,kila mmoja anavutia kwake ila nawaomba muwemnakuja naupdates zaukweliukweli propaganda nahabari zakuokota vichochoroni zinatuvuruga cc tunaofatilia uzi kimyakimya.....mwisho nadeclare mm pia ni pro russia na ni ant america ...hayaa uzi uendelee
 
Tena marehemu wengi tu maana Urusi inapata kigugumizi kutangaza majeruhi na vifo vya wanajeshi wake.

Wanakiri wameoata hasara ya vifaa vya kijeshi kutokana na mashambulizi sasa huoni kuna kitu wanakificha hao warusi.

Putin kakutana na upinzani mkali sana ndani ya Ukraine ambao haukutarajiwa ndo maana anapata wasiwasi zaidi. Alidhani wanajeshi wa Ukraine wangesalimu amri ama kumpindua Rais wao matokeao yake imekuwa kinyume.
Kuwapa silaha raia wakapambane kimya kimya hapo ndo serikali ya Ukraine imecheza maana mchana wanakua kama hawapo wanasoma mazingira ila usiku shughuli wanaipata si kitoto na kuna uwezekano mkubwa hao NATO washapenyeza wanajeshi wengi tu wanashinda kiraia kwenye majengo pamoja na wazawa
 
Kwahiyo unataka tumvishe kaka freeman wig na dera, na mnyika na baba chanja wangu. Hii kauli kutolewa na mwanasiasa sio kabisa. Hili ni tusi

Kwako wewe sio kwa wanaume wote
Ametumia neno 'baadhi' hujui hilo neno lipo kihesabu zaidi ....maana yake sio wote
 
Account ya Chancellor huko Twitter republic
Naona mambo yanazidi kunoga "The Netherlands also announced it will send anti-tank weapons to Ukraine, the Defence Ministry said on Saturday. The Dutch government will supply 50 Panzerfaust-3 anti-tank weapons and 400 rockets, the ministry said in a letter to parliament." Haya sasa babu Putin na aishambulie na Netherlands basi kwa kuisaidia Ukraine na ayaishi maneno yake sasa kama anawezana yeye si mtu wa vitendo?
 
Ikumbukwe kuwa hata US alichukua miezi kuiteka Bagdad wakati wa vita ya Iraq
Russia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.
 
Acheni ubishi na ujuaji hali ya kuwa hata JKT hamjapitia tupeni update za vita.
 
Back
Top Bottom