LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Tumekusikia msemaji wa Klemlin,lakini ngoja kwanza Putin apambane na hali yake,yale majigambo kabla ya vita mbona sasa hivi hayapo tena.
 
Wake up.!
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
It seems that your in a deep sleep
 
Wamepiga U-turn baada ya kugoma kwa muda mrefu kupeleka silaha! Zile kofia ngumu zipatazo 5000 zilipelekwa siku ya pili baada ya kuanza kwa mapigano.
Mkuu na Netherland naye anamsaidia Yukreni- The Netherlands also announced it will send anti-tank weapons to Ukraine, the Defence Ministry said on Saturday. The Dutch government will supply 50 Panzerfaust-3 anti-tank weapons and 400 rockets, the ministry said in a letter to parliament.

Kwa kifupi hii vita sio rahisi kwa Urusi na sitashangaa kama ikiwa ndiyo anguko na kudharaulikwa kwa Putin ndani urusi na dunia nzima kumeshaanza. Putin alianza kwa mikwara eti wanajeshi wa Yukren wasarend wenyewe! sasa matokeo yake hao ukrenians wapo na mzuka hataree, kama wakipata support ya kutosha ya wanajeshi na hayo mavifaa russia hatoboi na uchumi wake utasambaratika.
 
Ukren pia ina haki sawa na mataifa yote.

Kila nchi ikiwa na haki ya kuvamia nchi nyingine basi dunia itakuwa sehemu ya wajinga na vurugu.

Lazima kuwe na polisi wa dunia,USA ndie polisi wa dunia
 
Atakuua kwa presha mtu haelewi unamng'ang'aniza. Si muendelee na mada ingine mkuu.
 
Ni hivi Russia walisimama kupigana sababu Ukraine alitaka mazungumzo Ila ugumu ilikuja baada ya kushindwa kuhafikikiana sehemu ya mazungumzo.

Kufika jion hii mkuu wa majeshi Russia alitangaza kuendelea na Vita baada ya Ukraine kuingia mitini.

Russia anatumia makosa yaleyale aliyojisahau Ukraine kwa kuruhusu nyumban kwake kuwa uwanja wa Vita pili kuchukua maamuz ya haraka.

Urrusi kwa nguvu aliyonayo alipaswa awe ana mikubwa ashaiteka pale Ukraine, Ila sababu mashambulizi na uvumizi unafaa Sana usiku wacha tuzubirie tuone.

Urrusi anaonekana kuitaka Ukraine ikiwa na watu (resources) p
 

Mimi ninapongela muda unaotumika kuingusha ukrein. kwa sifa zinazomwagwa humu ilitakiwa iwe kazi ya masaa tu kuidodosha ukrein
...hii ingelitupa picha kuwa ni kweli Nato wanapigwa kwa kwa siku 2 ama 4 kama inavyosemwa.
tulitegemea mechi ya Man city na Fc Gogogo Man city awe anaongoza bao 5 ndani ya kipindi cha kwanza ila sasa ni kipindi cha pili ana bao 2 na zote ni penalty 😁😁.

mashabiki wa Man city mnatuambia kuwa wakichukuliwa wachezaji wa Bayne, Psg, Madrid, Barcelona, man U na Juve wote waingie uwanjani kwa wakati mmoja ila bado Man city itawapiga bao za kutosha tena dakika mwanzo tu. sasa sisi akina Tomaso tunaona ni Chai kavu.
 
Wamepiga U-turn baada ya kugoma kwa muda mrefu kupeleka silaha! Zile kofia ngumu zipatazo 5000 zilipelekwa siku ya pili baada ya kuanza kwa mapigano.
mkuu mbona kama ujeruman amekuwa mgumu kutoa sapoti kwa ukrain ana maslahi gan
maana hata kwenye baadhi ya vikwazo amekuwa kikwazo kuviidhinisha dhidi ya urusi.
 
Hivi nyie mnavuta bange za wapi....?

Marekani and the allies walitumia miezi mingapi Libya.? Ka nchi ka Africa... na Iraq je.??? Haya kimewakuta nini Syria.??

Na hapo haendagi pekeyake lazima aweke neno the allies..

Nyie subirini kichapo..
Kama mnalijua hilo,zile mbwembwe kabla ya vita zilikuwa za nini?
 
Wadau muwe mnaweka na sosi za habari zenu,mnatuchanganya sana sababu ya ushabiki wenu.
 
Puttin hajachomekewa mamluki kweli huko Eukraine? Isije ikawa zile mechi za Africa under 15 wenye maumbo ya under 45.
 
Wananchi wengi wamepelekwa maeneo maalum ya kujificha ya chini ya ardhi.Hivi sisi Tanzania tunayo hayo maeneo kweli?
Uko sahihi kuna dogo kaenda huko kusoma anasema wapo kwenye mahandaki na huduma muhimu zote wanapata huko huko.
 
Wafuasi wa Putin sasa hivi wamegeuka kuwa watu wa propaganda,wamesahau yale majigambo waliyokuwa wanayatoa hapa siku chache kabla ya vita,sasa hivi tunawakumbusha wanakuwa wakali 😁
 
Ujerumani haiwezi kuingilia huo mgogoro wa Ukraine. Hapo ni Habari uchwara tu changamsha genge za kujikosha.

Msimamo wa Ujerumani uko very clear. Russia ana haki ya kuprotect interest zake hapo Ukraine. Hata mkuu wa Navy wa Ujerumani alijikuta anaropoka na Press zilipo daka akajiuzulu fasta kama ni mawazo yake binafsi. Ila ukweli uko wazi Wajerumani nao ni watu wenye kiburi na maamuzi magumu when it comes their interest is at stake.

Hakuna nchi itakayo ingia physically kwenye hii vita. Ni matamko tu na Russia atajibebea points zote.
 
Afadhari kama ni kweli,simpendi Putin,natamani huu ndiyo uwe mwanzo wa mwisho wa utawala wake wa ki Dikteta.
Umewahi kuishi urusi ukaona anatawala ki dikteta ...cha ajabu unaweza kuta unaipenda ccm kwA kuamini inatawala kidemokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…