Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sawa MKUUSio mwez moja uliopita kaka, sema miezi miwili iliyopita
Sawa MKUUSio mwez moja uliopita kaka, sema miezi miwili iliyopita
Nakumbuka hawa hawa walisema kuwa baada ya siku tatu Vita vitaisha maana Russia kaishiwa chakula na silaha 🤣🤣🤣🤣🤣Jeshi la Urusi limepungukiwa risasi Kwa sababu sehemu hutengenezwa Ukraine 😂View attachment 2175031
Jamaa wanahisi bado watu wajinga kama miaka 20 nyumaView attachment 2175306
Maiti anavuta sigara haha ila hawa jamaa wamezidi propaganda zao afu nyingi zinafeli
Huyu anaongoza VITANI ila kutwa kulalama
Duuuh!! Nashukuru sana Sheikh Omary. At least nimepata kitu. Kumbe hii vamiavamia walianza siku nyingi. Ndio maana jirani zake wakamuangalia kwa tahadhari kubwa.Russia, Poland, Ukraine, Beralus na watu wengine wa Ulaya mashariki ni Wazungu wa Kabila moja (Slavs) Historically mabifu yao yamekuwepo miaka mingi sana.. karne ya 16 na 17 Poland na Lithuania zilikuwa na Muungano wao Unaitwa Poland-Lithuania Commonwealth ilikuwa ni moja ya kati ya Taifa kubwa Ulaya, hii empire ilianguka kutoka na Uvamizi wa Russian Empire na Prussia Empire.
Russia ya Sasa imetokana na Moscow Duchy iliyokuwa Kievan Rus (Dola ya Mwanzo ya Warusi), Hawa Moscow waliamua kuwa na imperialistic approach kwa majirani zao wote (they normally feel insecure), Russia unayoina imewahi kupigana karibu na kila Jirani yake (China ikiwepo)
So kwa tabia za aina Hii Warusia walianza kuwasumbua majirani zake kama Lithuania ndio wakaona bora waunde muungano na Poland, na kumeza baadhi ya maeneo ya majirani zao.
Miaka ya nyumba tofauti na sasa, labda Russia pekee ndio wamepakia na hii tabia, wazungu walikuwa wanaamini kuwa Homogenous group of people should live on the same territory, Mfano Germanic people should live together, Slavs the same (ndio maana unaona Russia hataki watu wajiunge na NATO au EU)
Kwa hiyo yeyote anayetoa habari amelipwa?! Ok...kama ni hivyo mwenzetu unalipwa na Nani kupinga habari ambazo ni tofauti na zile zinazotolewa na mabeberu na vyombo vyao vya habari na vikaragosi wao/vyao?! Mtu huhitaji kuwa na akili nyingi kutambua kuwa the killings at Bucha were staged....just imagine habari zinavyofanana katika vyombo vyote vya habari....Kuna video zinaonesha mawasiliano miongoni mwa Azov.kuhusu mauaji hayo...maiti kadhaa Zina vitambaa vyeupe ambavyo vilijuwa vinavaliwa na warusi....'maiti' nyingine zinanyoosha mikono kwa chati ...hao Azov very stupid...hata ukilipiwa kwa kazi yako - huoni aibu kuleta uwongo wa aina hiyo? Nimeshajiuliza ni nani anayekulipa ili ukae hapa 24/7 na kuwa na data bila kikomo..... Swali langu ni tu je mko wawili au watatu wanaotumia log-in ileile? Uko ubalozini Dar au unafanya kutoka nje?
Azov, Zelensky, BBC, Aljazeera, Skynews, CNN na wengineo wote ni washenzi na wapumbavu wakubwa...yaani wanataka kuidanganya dunia nzima kwa hadaa a kijinga kabisa...yaani wanashinhindwa hata kufanya staging za ushenzi wao...Kuna dot zingine ukiziunganisha unabaki umeduwaa tu.
Tarh..30 March
Russia Force Army wakaondoka Bucha.
Tarh..31 March
Mayor wa Bucha akatangaza kua Bucha z now liberated, na hakuzungumza chochote kuhusu uwepo wa hizo maiti. View attachment 2175230 Na picha zingine zilizotumwa ni vifaa vya kivita vilivoharibika vimetapakaa maeneo hayo.
Tarh..1 na 2 April
Azov Nazis wakaingia hapo Bucha...
Tarh..3 April
Ikapostiwa video maiti zikiwa zimetapakaa barabarani wakidai kua mauaji yaliyofanywa na Russia Force Army.
Katika hizo maiti hazina dam, ziko safi, hazijaharibika. Nazan wote twajua kutoka 30 April when RFA wakitoka apo Bucha mpk 3 April ni siku 4... Maiti ipi ya kukaa siku 4 imetekelekezwa bila kuharibika?
Kingine kitaratibu ya kiuandishi wa habari, linapotokea tukio, mchukua taarifa akifika eneo husika hua anahoji waliopo juu ya kile kilichotokea.
Katika hizo video hakuna Raia anayeonekana kuulizwa juu ya yaliyokuwa yakiendelea hapo.
Ukiitizama video halisi, achilia mbali hizi ambazo zimekuw compressed wakati wa kuz'upload kwenye mitandao ya kijamii. Inaonesha lens ya Camera ilotumika ni Professional katika kurecord hilo tukio...
Apa na maana ya picha anayopiga Galip SV na picha anayopiga Lukamba ziko tofauti kabisa no matter tutatumia the same device or not kwasabab ya u'professionalism kwenye eneo hilo.
Mwisho waja kaa chini kujiuliza hizi taarifa zinapikwa kwa lengo lipi. Na wale washabiki wa kubeba taarifa na kulaani... Mnakuwa na tofauti ipi na mbwa afugwaye ambae kokote unakomnyooshea kidole anabweka haijalishi ni nani maadam mwenye mbwa ndie keshaelekeza kidole.
Wapumbavu hao, Russia imeomba kitengo cha uhalifu wa kivita waende mpaka bucha kufatilia Hali ya mambo, cha kushangaza uingereza inapingaWadau nimeona mkuu wa mahakama ya uhalifu wa kivita ametoa hati ya kumkamata putin kwa kutuhumiwa uhalifu wa kivita katika mji wa bucha. je nani atamkamata putin