Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Endelea kupata news from battle fieldYaani leo pro Russia wamekuja na mada tofauti, wanazungumiza Mayai kupanda bei Ulaya
Hawatoi Taarifa za precision weapons Wala No Rubble no Gas [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Yaani leo pro Russia wamekuja na mada tofauti, wanazungumiza Mayai kupanda bei Ulaya

Mimi sio mtanzania nimezaliwa RUSSIA[emoji137][emoji137][emoji137]Mh,kwani wewe ni Mrusi?Watanzania bwana,akili zimelambwa na chunusi!!
POLEWanakeraa Hawa kujitia Warusi,yupo zake Namtumbo analeta fujo.
Huwataki wewe naniHATUWATAKI!
Tuendelee kupata newsYaani leo pro Russia wamekuja na mada tofauti, wanazungumiza Mayai kupanda bei Ulaya
Hawatoi Taarifa za precision weapons Wala No Rubble no Gas [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mi na yeyeHuwataki wewe nani
Sisi WATANZANIA HATUWATAKI....wakaribisheni huko kwenu KENYAHuwataki wewe nani
Ooh Asante sanaPOLE
Sisi Kenya hatuna haja nao, labda waende SomaliaSisi WATANZANIA HATUWATAKI....wakaribisheni huko kwenu KENYA
Nimetetewa kwenye nn !!!??Katika ushabiki huo jinsi ulivyo kwenye thread hii sishangai kwamba unajitahidi kumtetea Bwana Utam.... Ila hujasema chochote kuhusu maswali yangu.
Hapa sisemi wala sikudokeza kila mmoja analipwa. Lakini maswali yangu ni hayo:
"Nimeshajiuliza ni nani anayekulipa ili ukae hapa 24/7 na kuwa na data bila kikomo..... Swali langu ni tu je mko wawili au watatu wanaotumia log-in ileile? Uko ubalozini Dar au unafanya kutoka nje?"
Kazi yake kubwa ni kurusha matangazo ya Kirusi tu. Anafanya kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 4 usiku.
kwa mwanaJF wa kawaida - sijui? hapa najiuliza
Kuna swali aliulizwa na mwanahabari nasikitika hapa kwako sijalionaPresident Volodymyr Zelensky visited Bucha, a town northwest of Kyiv, which became the site of Russia’s bloody massacre with hundreds of civilian victims, on
President Volodymyr Zelensky visited Bucha, a town northwest of Kyiv, which became the site of Russia’s bloody massacre with hundreds of civilian victims, on April 4.
Photo: AFP, Anadolu Agency/Getty Images https://t.co/rvQaxoM3YtView attachment 2175554View attachment 2175555
Pengine ni hobby yake kufanya hivyo..anaweza kufanya hivyo bila malipo Kama wanavyofanya wengi humu JF...Katika ushabiki huo jinsi ulivyo kwenye thread hii sishangai kwamba unajitahidi kumtetea Bwana Utam.... Ila hujasema chochote kuhusu maswali yangu.