Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

*Mariupol (tayari ishanguka)
*Donesk(tayari ishanguka)
*Luhansk(tayari ishanguka)
*Melitopol(tayari ishanguka)
*Kherson(tayari ishanguka)

Bado (Kharkiv,Zaphorizia,Mykolaiv,Dnipropetrovsk na Odessa.

Ikianguka tu hii mikoa basi 50% ya uchumi wa ukraine utakuwa chini ya mikono ya warusi
Kuanzia vita ianze tunasikia hii miji imeanguka, au inaanguka na kusimama?
 
Chinese buyers offered Russian crude in yuan to avoid sanctions


Several independent Chinese traders have been offered Russian crude in yuan to circumvent sanctions that prevent bank guarantees on Russian energy transactions in USD.


Bloomberg has reported that many Chinese traders have bought cargoes for May from Russia’s eastern ports, but didn’t confirm if the payments made had gone through in yuan yet.


Indian lawmakers have said they will not pay for Russian oil in rupees yet, although the two countries are working on a ruble-rupee payment system alternative to SWIFT.
 
img_1_1649014919701.jpg
jaman hapo hakuna picha ya watu wawili huyu ni mwanajesh wa ukraine picha ya kwanza akiwa na gwanda picha ya pili akiwa amejifanya mwanamke ili akimbie vita ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
NATO iliposhambulia Syria ili kumpindua Asad kwanini media hazikuona Mambo ya humalitarian mara genocide, au wale SI binadam. Sio Siri hii kitu inaudhi sana.
BS
Sasa kama haukuwepo uhalifu wa kivita na genocide ulitaka media zionyeshe nini?? Mngepeleka RT waonyoshe raia wa Syria waliouwa cold blooded na majeshi ya NATO
 
Marekani imesema drones za Turkey aina ya Bayraktar TB2 zilishindwa kuyakinga majeshi ya aridhini ya Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia kwa kuwa mifumo ya ulinzi ya anga iliyokuwa ikitumiwa na majeshi ya Russia ilikuwa ikizidungua kwa urahisi droni hizo.

Marekani yasema udhaifu wa droni hizo ktk kuharibiwa na mifumo ya usalama ya anga na hivyo kushindwa kulinda majeshi ya aridhini dhidi ya mashambulizi ya maadui unaonekana hata ktk mapigano ya Libya ambapo jumla ya drones hizo 39 zilidungushwa na kupotea, huko Syria droni 8 za aina hiyo hiyo zilidunguliwa, droni tatu zilidunguliwa katika mapigano ya Nagorno-Karabakh, na sasa hivi wanaendelea kuzihesabu idadi za droni hizo zilizodunguliwa na majeshi ya Russia huko Ukraine.

=======

Screenshot_20220404-164142_Chrome.jpg
Screenshot_20220404-164418_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom