Ukrain sio nchi ndogo, huwezi kulinganisha na US vs Iraq ambao walitumia siku 21 kuwadondosha. Ukrain ni nchi ambayo imekuwa trained muda mrefu na NATO, wanao uwezo wenyewe kuunda ndege za kivita na wanauza hata nje, wanaunda vifaru na wanauza nje, pia wamesaidiwa sana kijeshi kwa silaha na nchi z amagharibi. ndio maana urusi alichofanya cha kwanza ni kushambulia vituo vya jeshi na maghala ya silaha etc, akawapararaizi, ndio maana kilichobaki kwao wanaomba silaha toka west ili waanze kupigana mtaani. na kupigana mtaani ni hasara kwao kwasababu raia wengi wamekimbia nchi na wataendelea kukimbia nchi, watabaki wanajeshi wanaojjificha kwenye majengo, na kwa sheria za kivita, unatakiwa kupiga panapotokea shambulizi, kama ni kwenye majengo urusi atatondosha yote hayo. na kwenye uwanje/nje ya mitaa hawawezi kwenda kwasababu urusi atawadungua wote kwa ndege na helcopter. wanachofanya ni kuidondosha nchi yao wenyewe kwa maslahi ya wamagharibi, huu ndio ukweli mchungu. mimi ni pro-magharibi lakini katika hili najua kabisa kwamba ukrain are bing used kama condom tu kwa maslahi ya magharibi na atakayeumia ni ukrain, sio russia wala magharibi. russia hata akiumia itakuwa sio sawa na ambavyo angekuja kuumia siku NATO wangeweka kambi ukrain, alikuwa hana jinsi ila kufanya alichofanya. penye ukweli tuseme ukweli.