Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

IMG_20220406_191900_059.jpg

Coincidence?

▪️Countries that did not support the UN resolution on preventing the glorification of Nazism

▪️ And countries that have imposed sanctions against Russia to support Ukraine

These are mostly the same countries.
 
Kadri muda unavyokwenda ndipo kelele zinapungua sana kwenye uzi huu. Mbwembwe,vibweka na mihemko inazidi kushuka.
Nacheka jinsi watu wanavyohamisha magoli, mwanzo walisema wananchi wapewe silaha waipaginie nchi yao, leo wanalalamika wananchi kupigwa na kufa.

Uzuri ni kua hata hao wananchi hawajauawa na majeshi ya Russia ila hao hao ukraine na ushahid wa kutumiwa as a human shields upo. Nadhani sasa wanahisi kuchoka, wanaanza kutafuta huruma propaganda zimeanza kufeli.

Zelensky anapewa airtime kuhutubia mabunge ya Nato members, wenzie wanamchora tu, wanampa 'tusilaha uchwara'. Hakuna ambaye anatoa msaada wa kueleweka na kumkomboa kweli.

Ngoja tuone.
 
Rasmi NATO na US inapeleka ndege zisizo na rubani pamoja na kufunga air defense system vitani Ukraine ,washajua putin nguvu imeisha baada ya vikwazo, ni baada ya kikao cha jana cha idara ya usalama marekani PENTAGONI
 
Siku hizi anga linafungwa na drones!!!?
Are serious!?
Yaani mi nawashangaa hawa machoko nato na kaka yao us ...[emoji848][emoji848][emoji848].....kwani nani anawakataza kuingia vitani wazima wazima ....asa hivo vidrone takataka urusi si atavisambaratisha vyote ..........ushauri wangu kama wanajiweza waingie mzigoni wakutane na mwamba russia AS KNOWN AS DUBU ....tuwa nyoe kwa kucha pumbav hawa...
 
[emoji298]️EU diplomats fail to agree on Russian coal ban and new package of sanctions against Moscow - Reuters
Linapokuja swala la Russian Energy, EU wanabaki kuwa wapole.

It's irrational to ban cheap Russia Gas/oil na kwenda kununua US expensive energy.

Kwa kufanya hivyo, EU watakuwa less competitive compared to other emerging markets/countries.
 
Rasmi NATO na US inapeleka ndege zisizo na rubani pamoja na kufunga air defense system vitani Ukraine ,washajua putin nguvu imeisha baada ya vikwazo, ni baada ya kikao cha jana cha idara ya usalama marekani PENTAGONI
Amka wewe...
Hiyo ndoto unayo ota mwisho utakuta umepii kitandani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
ANYONGWEEEE
Utam unanishangaza! Unaitikia kweli kama kipofu??? Bila kutumia gramu 1 ya ubongo? Hata miligramu ingetosha.
Hadithi hii kuhusu yule jenerali haina ukweli hata punje. Unajua neno hili linaloanza kwa "man" na kuishia kwa "tiki"?? Jenerali kiongozi wa NATO Ulaya anaenda kushauri kikosi kidogo katika eneo la mapigano???
Halafu unaitikia upuuzi wa Mathanzua hiyo feki kwamba Wikipedia makala yake imebadilishwa na kutangaza kifo?
Ulishindwa kufungua makala ya wikipedia ?? Na kuhakikisha habari ya ajabu?? Pole.
Basi nenda ukafungue uone kama alikufa huko. Uone aibu.
 
Rasmi NATO na US inapeleka ndege zisizo na rubani pamoja na kufunga air defense system vitani Ukraine ,washajua putin nguvu imeisha baada ya vikwazo, ni baada ya kikao cha jana cha idara ya usalama marekani PENTAGONI
Wacha kuandika huu[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] utumbo wa kuku huku umelala kitandani ...na ndoto za mchana jua kaliiii .......ebu amka alafu ndo uanze kuchora chora huu ujinga hapo ......au na wewe ulikuwa hapo pentagoni na hao wanao bwabwaja midomo ......kwanini msiingie wazima wazima mkakutane na mtanange wa mwamba PUT IN ........tuone mtakavo nyoroshwa .......maneno meengiii bila vitendo ....bustad...kabisa..
 
Kadri muda unavyokwenda ndipo kelele zinapungua sana kwenye uzi huu. Mbwembwe,vibweka na mihemko inazidi kushuka.
Nacheka jinsi watu wanavyohamisha magoli, mwanzo walisema wananchi wapewe silaha waipaginie nchi yao, leo wanalalamika wananchi kupigwa na kufa.

Uzuri ni kua hata hao wananchi hawajauawa na majeshi ya Russia ila hao hao ukraine na ushahid wa kutumiwa as a human shields upo. Nadhani sasa wanahisi kuchoka, wanaanza kutafuta huruma propaganda zimeanza kufeli.

Zelensky anapewa airtime kuhutubia mabunge ya Nato members, wenzie wanamchora tu, wanampa 'tusilaha uchwara'. Hakuna ambaye anatoa msaada wa kueleweka na kumkomboa kweli.

Ngoja tuone.
Walijigamba kuwapa silaha raia, halafu hao raia wakauliwa wanaanza kulalamika...
 
Back
Top Bottom