Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanini wao wasimguse RUSSIA ambae kaivamia nakuitwanga mambomu KIEV sasa hivi kila leo mwalalama
URUSI mwisho wake utafikia tu lazima sababu hakuna marefu yasio mwisho ila sio kwasababu ya hii OP
Kama unadhani hii OP ndio utakua mwisho wa URUSI pole sanaa
 
Kama hajaelewa yani ni Russia vs 30+ nations wakiongozwa na baba yao US ila bado Russia anawakalisha.Hao wote bado wanagwaya kwa Mrussi si waungane wamvamie moscow pal
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sasa unasema πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί anapigana na mataifa 30 +. Harafu unasema kama wanauwezo wajitokeze Moscow .sasa unasema wanapigana na yeye. Tena unasema wanamgwaya πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”. Tukiwaita vichaa mnasema tunawatukana .
 

Utoto raha sana.
 
Pro NATO kwa utabiri sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

NATO ni nchi 30 na zaidi. Urusi ni nchi moja tu. Kwa uwezo/Ukubwa wa NATO si busara asubirie mpaka aguswe ndio amfunze mtu adabu. Yeyote atakayekosa adabu akaenda kinyume na matakwa ya NATO anatakiwa atulizwe. Russia meivamia Ukraine kunyume cha matakwa ya NATO kwa nini NATO Wasimzuie Russia!? Mbn ni nchi moja tu na wao wapo wengi!?

Ajabu sana hii logic. Anayepigana na wengi na bado anawamudu ila anaonekana ndio dhaifu

Vimemuvimbia [emoji777]
Vimemvimbia [emoji736]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Kwa sisi ambao tunasoma bible vzr na kinachoendlea ukraine ni kweli kabisa. Mpango wao ni NWO ila hawatoweza kwa sasa coz bible imeandika ufalme wa West utanguka utakuja ufalme wa East ambao utakua na nguvu sana then ndo ant-Christ atakuja. Kutokana na biblia US ni kama anakwepa utabir ila mwsho wake upo ukingoni.

Ukisoma biblia vzr kinachoendelea ukraine vilishatabiriwa kwenye bible.

 
Hii ODESA lazima ibakie RUSSIA
Waache wahangaike weee ila ODESA jamaa wanapita nayo
UKRAINE inatakiwa ibakie kama morogoro yaani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo malengo yaliyowapeleka πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦ kumbe . 😁😁😁😁😁.
 
Hii ODESA lazima ibakie RUSSIA
Waache wahangaike weee ila ODESA jamaa wanapita nayo
UKRAINE inatakiwa ibakie kama morogoro yaani
Land locked. Sema Russia mbabe sana. Huu ubabe mpk unaogopesha. Kwenye karne hii ya taarifa unaivamia nchi ya watu tena ulaya unajisevia maeneo tu kama unavyotaka dah[emoji1787]

USA/Nato kwa mbali anamuimbia Zelensky ule wimbo wa "babygirl i can't help but wait"

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί mmehamia na kuchambua bible πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”. Mambo ya msafara wa km 60 umeishia wapi ?!!!!!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pro[emoji635][emoji635] mmehamia na kuchambua bible [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]. Mambo ya msafara wa km 60 umeishia wapi ?!!!!!!![emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msafara ulikutana na Javelin ukafia njiani
 
Mungu aturehemu, Mathanzua amerudi analeta tena upuuzi wake kuhusu Khazarian Mafia na supu yake ya historia anapokoroga kila kitu ambacho haelewi. Kwa bahati nzuri kopi-paste yake ni ndefu kiasi watu hawatasoma.
Bila hii historia huwezi kuelewa mgogoro wa Urusi na Ukraine!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] msafara ulikutana na Javelin ukafia njiani
🐯🐯🐯🐯 hatari sana hawa vichaa wa πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί.
 
heheheeee PUT IN khattar sana MKUU
jamaa watajuta kuingia VITANI
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ proπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί mmehamia na kuchambua bible πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”. Mambo ya msafara wa km 60 umeishia wapi ?!!!!!!!πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa wanahangaikaga sana... Russia alisemaga atampiga mtu yoyote atakyeingilia vita Hadi Australia anapeleka magari ila hakuna hata kitu amefanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…