Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1649443271988.png
Propaganda ya kijinga. Kwa nini Ukraine irushe roketi kwa watu wake? Kama inatosha kuamuru treni isiende?? Kinyume jeshi la Ukraine ni wanaume ambao ni wababa na wana wa hao wanawake, watoto na wazee wanaoambiwa kuondoka na kujikoa wasipate Bucha nyingine.
Warusi wanaona itawahamaisha askari wa Ukraine kuchinja watoto nma wake wao??
 
Slovakia, Polandi, Sweden na vitaifa vidogo kabisa vya Baltic vimemuvimbia Urusi na kama mbabe kweli ajaribu kugusa Taifa mwanachama wa NATO hataamini. Urusi mwisho wake umefika anaenda kukolapse completely. Tutegemee kuzaliwa vitaifa vidogo dogo hapo kwenye shirikisho la Rusia.
 
Mtaongea kila aina maneno lakini hamuwezi kubadilisha ukweli.

Hili shambulizi limefanywa na Ukraine aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi ili kuendeza vita vyao vya kipropaganda ya kwamba Urusi inauwa raia.

Urusi imeonesha ushahidi mpaka kombora lilipo tokea lilifyatuliwa kutoka upande ambapo kuna wanajeshi wa Ukraine.

Na kombora kama hili Ukraine ilisha litumia kwenye mji wa Donesk unao dhibitiwa na waasi wanao ungwa mkono na Urusi na kuuwa watu 22.

Mara ya kwanza vyombo vya habari kama kawaida yao walikuwa wameituhumu Urusi lakini sasa hivi wamebadilika wanasema haijulikani ni nani aliye fanya shambulizi.

Sahivi wameamua kukimbilia kwenye mauji kwamba Russia anaua raia. Wanaongozwa na baba yao US.
 
Slovakia, Polandi, Sweden na vitaifa vidogo kabisa vya Baltic vimemuvimbia Urusi na kama mbabe kweli ajaribu kugusa Taifa mwanachama wa NATO hataamini. Urusi mwisho wake umefika anaenda kukolapse completely. Tutegemee kuzaliwa vitaifa vidogo dogo hapo kwenye shirikisho la Rusia.

Hauna utofauti na jina la ID yako endelea kuwa lost.
 
Back
Top Bottom