Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Nimeelewa huu ugomvi ni kati ya US na Russia basi, pale Ukraine kuna nini kiasi cha Marekani kupiga kelele hivyo dhidi ya Russia?
Huyu mkuu ninamatusi yake ya kikemikali ambayo hata wapiga ban hawajawahi kuyaona tokea dunia iudwe mayala huyo namwesabia step tuuForum kama hii inahitaji matumizi ya akili, sasa unatuita Pro Russia vichaa ulitupima?
Sijaona silaha hapo naona magari.
Aisee!wako hapa akina mama , wanafuraha kweli kweli , namuona na mama yako Amenona sana siku hizi😂😂😂😂😂😂😂 maana NYUMA hakuwa hivi .
Mara ya mwisho kumuona alikuwa kimbaumbau 💃💃💃💃💃.
Unapiga kushoto, unachia kulia🇺🇸The US Treasury removed telecommunications equipment and a number of Internet technologies from sanctions against Russia.
It follows from the statement that financial transactions with Russia related to this equipment will be allowed.
Yes, tupunguze cycle ya Dollars kidogo, Ili kelele zisiwe nyingiChinese companies start payments in yuan for Russian oil & coal - reports
First yuan-bought coal cargoes are set to arrive in China this month, followed by Russian crude in May, as the two nations maintain their energy trade.
These will be the first commodity shipments paid for in yuan since the US and Europe penalized Russia and cut several of its banks off from the international financial system, according to traders. (Bloomberg)
Moscow is also offering rupee-ruble payments to Indian oil buyers, while Saudi Arabia is in talks with Beijing to price some of its crude in yuan, as the two nations try to curtail dollar’s dominance in global trade.
Wanahaha, hawaelewi nini kinatokea Ruble is resists hardlyWanataka kui'ban mara ngapi [emoji848][emoji848][emoji848]
Nakubali [emoji1666][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza data ni za Uongo hizo... Vidogo vingine vipuuze tu text zitakuwa nyingi...
Russia external debt ni 478B US dollar sio hizo 160 alizokurupuka kuandika....
Na kwa kufanya comparison na nchi ile inayotukuza mashoga na wasagaji iko hivi...
US anadaiwa deni la nje (External Debt) zaidi ya Dollar Trillion 21... Sawa na 102% ya GDP yake.
Russia anadaiwa deni la nje takriban Dollar Billion 478 sawa na takriban 26.9% ya GDP yake.
Kwa kulinganisha ni kua US ana deni kubwa mara 43 zaidi kuliko Russia ingawa in term of number US GdP iko valued mara 11 zaidi kuliko Russia.
Hapa ukitaka kuona uzito wa ukubwa wa deni kwa mlengo wa pato la taifa. Imagine hapo Tanzania deni lipo around 37% ya pato la taifa GDP na kelele ziko kiwango cha rami vipi ka ingekuwa kwa ulinganyo wa kubwa zaidi kuliko pato la taifa ka US? Ingawa mwisho w reli ni Japan.
So kwa hiyo consideration nchi ipi iko healthy?
Nenda tena kwenye mapato na matumizi. Russia mwaka ulopita kwa Quarter 1,2,3 na 4 alikuwa na Accumulative surplus ya zaidi ya Trillion 4 Ruble kwenye budget yake ambazo hizi kwa rate ya sasa ni zaidi ya Dollar Billion 50.... Zaidi ya Trillion 117 za kitanzania... Takriban Budget ya miaka mi4 ya TZ...
Ila kwa upande wa US ye yupo na deficit kwenye budget yake. Tena sio millions wala billions bali Trillion dollars... US Budget Deficit by Year Compared to GDP, Debt, and Events
So ukiangalia hizi fact chini hapo View attachment 2179541 Utagundua kua healthy economy sio ukubwa wa number kwenye makaratasi....
Na wala haiitaji degree kujua kua US anaendesha budget yake ya kujimudu kwa mkopo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ka wabongo wa tandahimba tu japo kuvimba na kujifanya gwiji wa kutoa msaada anaweza.