[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ongeza sauti kidogo na wengine wakusikie hasa Vichwa maji wa "International Community"....
Nanukuu Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Biden [emoji19] "I heard Russia is the 11th World Economy in the world, I will make sure at the end of this year they won't be even to the world top 50 big economy..."
IMF [emoji848] "IMF would downgrade its previous forecast for 4.4% global economic growth in 2022 as a result of the war, The impact would be most severe in terms of driving up commodity prices and inflation, potentially leading to hunger and food insecurity in parts of Africa"
Pro US na NATO wa JF [emoji847] "Russia masikini hana lolote, Uchumi wao mbovu"
Points of argument...
1. Kama ana uchumi hoe hae, ilikuaje akawa wa 11 in the world out of more than 200 Countries worldwide [emoji848]
2. Dunia imekua vitan kila leo, Libya, Iraq, Afghanistan na kwingineko... Why kwa Russia uchumi uyumbe dunia nzima... If its really true uchumi wake ni insignificant to the world?
3. If its really true, Russia gotta poor economy, mbona kuna zaidi ya sanctions 6,000 within a month zipo targeted kwenye uchumi ambao unadaiwa ni poor [emoji848]
4. If Russia economy is insignificant, kwanini kuna maandamano ya raia mataifa husika wakilalamika ugum wa maisha kutokana na vikwazo walivoviweka ilhal uko nyuma kwa nchi kama Venezuela, North Korea na Iran hatuyaona?
5. Wachambuzi wa uchumi wa kimataifa wanatabiri anguko la kiuchumi kwq Europe endapo atafanya total isolation ya nishati kutoka Russia. If that's true, inakuaje mataifa yanayodaiwa yako ngangali kiuchumi yayumbishwe na hii nchi inayodawa kua ni hoe hae kiuchumi.
6. Inflation na hali mbovu wanayopitia raia wa nchi nyingi zaidi dunian lawama zake zinaelekezwa Moscow [emoji23][emoji23][emoji23]... Inakuaje lawama zipelekwe kwenye nchi inayodaiwa ni dhaifu with poor economy [emoji847]
Kwa anguko hilo wanalolidai IMF la kiuchumi duniani haitoshi kusema kua uchumi wa Dunia unategemea kwa kiasi chake survival kutoka Russia?
Je hii haithibitishi kama Russia sio ZIMBABWE [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]