Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kama unatambua hilo hukuwa na haja ya kulalamikia hilo la uelewa wake, ungepuuza tu.
Naona unaendelea na lililo na manufaa kwako. Kufikiri mambo ambayo sijafanya. Sasa hivi unafikiri nimelalamika. Haya pambana.
 
Urusi inapaswa kuanza kukubali mambo yanaenda vibaya,
(isipokuwa kesho tutasikia tena: Kila kitu kulingana na mipango yetu!!)


Ukraine war: Putin's spokesman Dmitry Peskov denies war crimes but admits 'significant' Russian losses​

Alix Culbertson
Vladimir Putin's spokesman has admitted a "significant" loss of Russian troops since the invasion of Ukraine began, telling Sky News their deaths are a "tragedy".
Dmitry Peskov, in his first broadcast interview with Western media, also said Russia hopes "this operation" will reach its goals "in the coming days".
..... Mr Peskov continued to insist it was not a war but a "special military operation" that was necessary because, he said, Ukraine has been an "anti-Russian centre" since 2014, when Russia annexed Crimea.
He did admit: "We have significant losses of troops and it's a huge tragedy for us."
Chanzo: Ukraine war: Putin's spokesman Dmitry Peskov denies war crimes but admits 'significant' Russian losses
(Swali: anaweza kushangaa kweli kwamba Ukraine haikuonyesha upendo kwa Urusi baada ya kuvamia Krimea mwaka 2014 na kuvunja mikataba yote??)
 
Vituko vya mwaka, eti urussi imeban prime minister na raia wengine wa new zealand kuingia urussi. Mimi mwenye hata bure siwezi enda uko manake kumejaa umaskini na baridi

Russia bans New Zealand Prime Minister Ardern and 129 other citizens from entering



Russia, in response to anti-Russian sanctions, added 130 New Zealand citizens, including the Prime Minister, to its "black list", the Russian Foreign Ministry said.
 
Hapa sasa hivi kukitangazwa visa free za kwenda Urussi au western countries, amini usiamini pro Russia wote wataenda nchi za magharibi. Urussi kuna nuka shida na umaskini
 
Urussi kweli ni Zimbabwe, pumzi za vita zimekata anaomba viishe arudi nyumbani.😂😂

PESKOV: We Hope That The Special Operation in Ukraine in the next days or in the foreseeable future will achieve its goals or will end by negotiations. The Operation In Ukraine may end diplomatically, it depends on the ukrainian position and acceptance with russian conditions
 
Hzo hata mm ningevunja coz USA ndo ameharibu kila kitu uko UN, WB, IMF anaye control ni USA sasa unategemea nini?

Na kwanini amevunja mkataba wa kuheshimu mipaka ya ukraine? Jibu unalo na Russia hajavunja mikataba ila ukraine ndo wamevunja mkataba waliokubaliana na Russia.

Mdogo wangu acha nikwambie kitu hii dunia nadhani hujajua inavokwenda na hujajua nan yuko nyuma ya dunia hata hao marais wa mataifa makubwa wanawekwa mfano biden kawekwa na hao watu na kila rais anayeingia madarakani anakua na special mission kapewa.
Biden kapewa ya NWO lakin ndo kashafeli.

Obama alipewa ya ushoga, unajua kwanini trump walimtoa madarakani? Kwa jibu lako utanambia hakuchaguliwa ila kiukweli alishinda uchaguzi. Dogo ungekua unajua nini kipo nyuma ya pazia hata usingekuwa huo upande ulioko ila tutaendelea kukupa elim utakaa sawa.
Embu uwe unatumia akili basi japo ata kidogo
 
Hapa sasa hivi kukitangazwa visa free za kwenda Urussi au western countries, amini usiamini pro Russia wote wataenda nchi za magharibi. Urussi kuna nuka shida na umaskini
nenda 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 urudi kama Dr shika
900 itapendeza
🏃🏃🏃🏃🏃
 
Kila siku urussi inakuja na sababu mpya ya kwa nini walivamia Ukraine. Leo wamekuja na nyingine🤣🤣

Peskov: One Of the goals of the special Operation In Ukraine to prevent the threat of the third World War
 
Gonga tu [emoji23] mara elfu, bado unaonyesha kwamba huelewi namba. Katika kupiga kura kuna utaratibu. Hapo haidhuru ni wangapi ambao wangepiga kura kama wangehudhuria, lakini ni wangapi waliohudhuria na kupiga kura.
Mengine ni bure.
Inasaidia nini kukadiria kwamba Magufuli aliyepata kura milioni 8.8 mwaka 2015, alichaguliwa na asilimia 17 za raia milioni 51???? Ni bure kwa sababu alipata asilimia 58 za hao walioshiriki katika kura, yote mengine ni bure kabisa.
Kama ungekuwa mpinzani anayehitaji kujifariji kuhusu ushindi wa Magu mwaka ule, ungeweza kufanya michezo hii lakini wote wangekucheka.
Jinsi tunavyocheka sasa uki hesabu watu ambao hawakushiriki katika kura lakini wewe unataka kufanya utahmini wa kura.
(pamoja na hayo ni wazi: hao ambao hawakushiriki kabisa, walitaka kuficha kwamba wanaogopa kuonyesha bendera yao; wale walioshiriki lakini hawakusimama upande walijua kwamba hali halisi wanakubali maana kupinga ni lazima kusema "HAPANA", ukiabstain huhesabiwi.
Acha maelezo mengi na mifano ambayo haipo. Jibu swali jepesi nililokuuliza.

Nimesema 93 out of Member states au waliopiga kura? Ulichozungumza umezungumzia wapiga kura au member states?

Nilichozungumza mie nimezungumza maamuzi au nimezungumzia idadi? Na unachojarib kujitekenya nacho apa ni idadi au maamuzi?

Ukikosa hayo majibu usirefushe thread kwa text ambazo hazina kichwa wala miguu... Unapita kule tu simple like that.
 
Urussi kweli ni Zimbabwe, pumzi za vita zimekata anaomba viishe arudi nyumbani.😂😂

PESKOV: We Hope That The Special Operation in Ukraine in the next days or in the foreseeable future will achieve its goals or will end by negotiations. The Operation In Ukraine may end diplomatically, it depends on the ukrainian position and acceptance with russian conditions
😂😂😂 pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 kibuyu kimelia huku 😂.
😁😁😁😁😁😁😁......!!!!!
 
Putin anavunja ordodha ndefu ya mikataba ambayo Urusi ilijiunga nayo.

1. Mkataba wa Budapest ya 05.12. 1994 (ahadi ya kuheshimu mipaka ya Ukraine, kutotishana wala kutojaribu kulazimishana kwa chochote)
2. Mkataba wa Urafiki na ushirikiano wa 31.05.1997 (ulirudia ahadi hizo)
3. Mkataba wa Kuunda Umoja wa Mataifa wa 24.10.1945, hasa 2#4
4. Mkataba wa London wa 1949
5. Mkataba wa Helsinki wa 1975 (pamoja na kutambua haki ya kila nchi kujiunga au kutojiunga na nchi nyingine...)
Marekani hawajaivunja walipoivamia vietnam libya iraq hata afghanstan.
 
Acha maelezo mengi na mifano ambayo haipo. Jibu swali jepesi nililokuuliza.

Nimesema 93 out of Member states au waliopiga kura? Ulichozungumza umezungumzia wapiga kura au member states?

Nilichozungumza mie nimezungumza maamuzi au nimezungumzia idadi? Na unachojarib kujitekenya nacho apa ni idadi au maamuzi?

Ukikosa hayo majibu usirefushe thread kwa text ambazo hazina kichwa wala miguu... Unapita kule tu simple like that.
Ulisema kabisa "member states" na hivyo ulionyesha kwamba hujaelewa utaratibu wa kura na maazimio. Majadiliano yalihusu azimio la mkutano mkuu. Ulimjibu MTZ 255Dar alileta habari kuwa Urusi umeondolewa kwa muda katika kamati ya Haki za Binadamu. Alikosea kutaja idadi sahihi.
Hapo ulikumbusha kihusu idadi sahihi. Asante!
Uliendelea kuingiza hapa mambo ya asilimia. Lakini kwa namna inayoonyesha kwamba hujaelewa utaratibu. Maana kwa kuondoa nchi 2/3 za kura zinahitajika kuwa ndiyo. Kwa kura ya 93 NDIYO - 24 HAPANA hiyo theluthi mbili imefikiwa na hapa iko habari yenyewe.
Sasa umekuja kuleta idadi ya 193 ambayo haina maana kwa usahihi wa azimio. Kama ungesema: asilimia 79 NDIYO zilifikiwa, ingawa hao si %48 ya wanachama wote wa Umoja wa mataifa - basi ingekuwa mchango wa maana.
Jinsi uliovyoleta ilionekana kama kupiga debe tu na kumwaga ukungu na hapo usishangae ukisahihishwa.
 
A
Huu ujuaji mngekuwa mnauweka katika uhalisia Tanzania ingekuwa mbali sana ki Uchumi,ajabu sana kuyaona Mataifa makubwa yanayoongoza kwa kila nyanja Duniani kuwa hawana akili kuweka vikwazo,wakati huo huo unaishi kwenye Nchi iliyotopea kwenye umaskini wa kupindukia[emoji3]
isee !but fact!
 
World News

NATO accuses China of issuing 'challenge'

Published: 7 Apr 2022 | 18:10 GMT


Beijing's refusal to condemn Russia presents a challenge to the bloc, the secretary general says
NATO Secretary General Jens Stoltenberg has declared that by being “unwilling to condemn Russia’s aggression,” China has issued a challenge to the Cold War-era alliance. Beijing has remained neutral on the conflict in Ukraine, but has accused NATO of fomenting the crisis by expanding into Eastern Europe.
“We have seen that China is unwilling to condemn Russia’s aggression, and Beijing has joined Moscow in questioning the right of nations to choose their own path,” Stoltenberg told reporters in Brussels on Thursday, following a meeting of NATO foreign ministers, along with Ukrainian Foreign Minister Dmitry Kuleba and officials from Australia, Japan, New Zealand, and South Korea.
“This is a serious challenge to us all,” Stoltenberg added. “It makes it even more important that we stand together.”
China has repeatedly called for a diplomatic end to the war in Ukraine, but has not joined Western powers in sanctioning Moscow, and has continued to trade with its Eurasian neighbor.

[https://cdni]

Read more

NATO should have been dissolved in 1991 – China

The Chinese government has not responded well to what it termed “lectures” by the alliance’s leaders, such as when Stoltenberg called on Beijing last month to “live up to its responsibilities as a member of the UN Security Council” and “refrain from supporting Russia’s war effort.”
With Stoltenberg demanding China condemn Russia, the Chinese Foreign Ministry refused, citing NATO’s deadly bombing of the Chinese embassy in Belgrade, Serbia in 1999 as one reason it won’t listen to a “lecture on justice from the abuser of international law.” China’s leaders have likewise been unmoved by threats of sanctions from the US and the EU.
Amid this impasse, Stoltenberg on Thursday threatened a more militant approach to dealing with Beijing. “NATO and our Asia-Pacific partners have now agreed to step up our practical and political cooperation in several areas, including cyber, new technology, and countering disinformation.”
The NATO chief has previously accused China of supporting Russia’s war effort with “lies and misinformation,” likely a reference to Beijing joining Russia in questioning US-funded biological lab activity in Ukraine. US officials have denied claims that Ukrainian research labs were working on biological weapons, despite documents published by Russia suggesting otherwise. However, American officials have confirmed the labs’ existence, and emails suggest the Biden family was involved in their funding.
“We will also work more closely together in other areas,” Stoltenberg continued, “including maritime security, climate change, and resilience.”
Stoltenberg is not the only Western leader with visions of gathering allies to oppose China in the Pacific. Separate from the cooperation he spoke about on Thursday, the US, the UK, and Australia unveiled their ‘AUKUS’ alliance last September. China’s Foreign Ministry has described the three-way alliance as an attempt to build an “Asia-Pacific version of NATO” that is “doomed to fail.”
 
Ulisema kabisa "member states" na hivyo ulionyesha kwamba hujaelewa utaratibu wa kura na maazimio. Majadiliano yalihusu azimio la mkutano mkuu. Ulimjibu MTZ 255Dar alileta habari kuwa Urusi umeondolewa kwa muda katika kamati ya Haki za Binadamu. Alikosea kutaja idadi sahihi.
Hapo ulikumbusha kihusu idadi sahihi. Asante!
Uliendelea kuingiza hapa mambo ya asilimia. Lakini kwa namna inayoonyesha kwamba hujaelewa utaratibu. Maana kwa kuondoa nchi 2/3 za kura zinahitajika kuwa ndiyo. Kwa kura ya 93 NDIYO - 24 HAPANA hiyo theluthi mbili imefikiwa na hapa iko habari yenyewe.
Sasa umekuja kuleta idadi ya 193 ambayo haina maana kwa usahihi wa azimio. Kama ungesema: asilimia 79 NDIYO zilifikiwa, ingawa hao si %48 ya wanachama wote wa Umoja wa mataifa - basi ingekuwa mchango wa maana.
Jinsi uliovyoleta ilionekana kama kupiga debe tu na kumwaga ukungu na hapo usishangae ukisahihishwa.
Jibu swali acha maelezo marefu kwa ufupi maelezo marefu ya kujitetea hayabadilishi nilichokiandika.

Apo umejibu swali moja tu katika niliyokuuliza. Jibu maswali niliyokuuliza kisha jijibu umekurupuka kuniqoute kuongelea nini?

M255 huyu katoa report kua ni nchi 120 zimepigia kura kadha wa kadha. Nimekanusha idadi aliyotoa wala sikukanusha maamuzi yaliyofanywa.

Ulivo sasa kama kawaida yako umekurupuka na yako.

Narudia tena jibu maswali niliyokuuliza. Majibu yake sio marefu kumaliza paragraph zaidi ya moja.

Unakiri nimezungumzia member states na sio wapiga kura haya hicho kipele kilichokuwasha kuniletea habari za wapiga kura n kitu gani?

Hapo nimezungumzia idadi ya waliopiga relative to total number ya member states wa UN au nimezungumzia uhalali wa maamuzi yaliyofanywa...?

Mr, are you insane [emoji848]... Huna hoja just funga kopo lako tu... Ain't like you buddy, najua kile nachokiandika.
 
Marekani hawajaivunja walipoivamia vietnam libya iraq hata afghanstan.
Ndiyo na hapana. Inategemea.
1) sehemu kubwa ya mikataba haigusi vita unazotaja. Wala mkataba wa Budapest, wala ya Urafiki wa Urusi na Ukraine, wala ile ya Helsinki.
2. Vietnam Kusini; Marekani ilituma vikosi baada ya kuitwa na serikali ya nchi. Maana washambuliaji walitoka Vietnam Kaskazini. Hapo Marekani haikuvamia. Lakini ilizidi kuingilia kati na hapo mikataba na. 3 na 4 zingeweza kuguswa.
3. Iraki mara ya kwanza HAPANA. Iraki iliwahi kuvamia Kuwait, azimio la Umoja wa kimataifa iliruhusu kuondoa Iraki.
4. Iraki mara ya pili: machoni pangu NDIYO . Maana waligushi sababu (Irak kuwa na silha marufuku), ingawa sina uhakika kama habari zingetosha mbele ya mahakama ya kimatifa.
5. Afghanistan: Marekani haikuanza. Ilishambuliwa kutoka eneo la Afghanistan na serikali ya Taliban ilikataa kukabidhi Osama na Al Kaida. Kwa hiyo walivamia kwenye vita ambayo hawakuanzisha.

6. Ukraine naona tofauti. Hakuna sababu zaidi ila Putin hapendi siasa ya Ukraine. Katika mkataba wa Helsinki Urusi ilikubali kwa nchi za Ulaya kwamba kila nchi ina haki kuchagua, ama kukubali au kukataa ushirikiano na kushikamana na nchi nyingine. Ukraine hakushambulia Urusi hata kidogo. Urusi iliwahi kuahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine (jinsi zilivyokuwa wakati wa kutia sahihi - pamoja na Krimea na Donbass).
 
Back
Top Bottom