Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kremenets mountain South of Izyum fell today. It’s most notable to its monument to a heavy battle that took place there in WW2, dramatic scenery, and Polovtsy stone figures dating from the 9th to 13th centuries. It was an important place to the Polovtsy.
View attachment 2179403View attachment 2179404View attachment 2179405
20220407_180346.jpg
 
Kuna sehemu nimeuliza huyo Russia kama kweli Kidume akatae kabisa kuwauzia hasa Mataifa ya NATO tuone kama ataweza kusurvive hata kwa mwezi mzima,uchumi wake mwenyewe ni wa kawaida tu ukiweka na dose ya sanctions ndiyo kabisaa,hiyo jeuri anaitoa wapi ya kutokuuza.

Sasa hivi Warussi wa JF wamesusa kutuletea update za Ukraine kwenyewe,kuna mmoja alikuwaga anaweka ki ramani flan cha maeneo yanayokaliwa na Russia,sasa hivi sijui kapatwa na nini,ako kimyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Urusi anakukunguta mpaka wewe bongo uku huelew maisha yamekua magum kwa ajil yake alafu unambeza
 
Wakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,

Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.

anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.

Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao

nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
we ndo huelew mzee.vita ya kupigana ilihali unawatenga usiumize raia ni ngumu sana.sio mshabik ila wangeamua wangevugumisha mabomu raia weng wangekufa.
 
Russia has an external debt of $150 billion USD

Russia's foreign reserves is $600 billion USD

Oil and Gas revenue even with sanctions and war $4billion USD monthly

France , US and UK where smart enough to quickly freeze Russian Accounts and asset incase of bad debt
 
Yuko tayari kuvunja sheria ipi ya kimataifa tuanzie hapa na hajali mikataba ipi? Inaoneka unajua vzr mikataba hio twende kazi.

Wananchi wa EU kama nchi zipi wanamwona hatari??
Putin anavunja ordodha ndefu ya mikataba ambayo Urusi ilijiunga nayo.

1. Mkataba wa Budapest ya 05.12. 1994 (ahadi ya kuheshimu mipaka ya Ukraine, kutotishana wala kutojaribu kulazimishana kwa chochote)
2. Mkataba wa Urafiki na ushirikiano wa 31.05.1997 (ulirudia ahadi hizo)
3. Mkataba wa Kuunda Umoja wa Mataifa wa 24.10.1945, hasa 2#4
4. Mkataba wa London wa 1949
5. Mkataba wa Helsinki wa 1975 (pamoja na kutambua haki ya kila nchi kujiunga au kutojiunga na nchi nyingine...)
 
Mbona Iran, Korea, quba, Afghanistan zote ziliwekewa vikwazo uliwai banwa popote?
Hizo ni nchi zenye mchango mdogo katika dunia, hawana lolote la kupoteza.
Urussi anauza gesi,mafuta, chakula,silaha na pia kuna makampuni mengi ya magharibi yaliowekeza kwao
 
Kuhusu mawazo ya wananchi wa EU kuhusu Urusi. Hapo chini mjinsi ilivyokuwa mwaka 2020. Utaona kwamba katika nchi karibu zote sifa za Urusi zilipungua tangu ukali wa Putin na hasa mashambulio yake ya kwanza dhidi ya Ukraine. Italia pekee sifa za Urusi ziliongezeka (usaidizi wa Urusi wakati Korona ulipoanza), baada ya uvamizi wa Ukraine hii yote imepotea.
1649346102584.png

Nchi ndogo nje ya EU ni Serbia penye upendo mwingi kwa Urusi kutokana na historia yake. Italia asilimia kubwa ya heshima ya Urusi ilipotea tangu uvamizi wa sasa, nimekuta bado asilimia 12 (ambao ni wengi nikilinganisha) wanaona uvamizi wa Ukraine ni wa haki.
 
Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua, ni Sawa na Tz tuwekewe vikwazo, dunia itaumiaje? Leo China awekewe vikwazo, dunia yote Italia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em ongeza sauti kidogo na wengine wakusikie hasa Vichwa maji wa "International Community"....

Nanukuu Mchango wao kwenye uchumi wa dunia ndo unaamua [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Biden [emoji19] "I heard Russia is the 11th World Economy in the world, I will make sure at the end of this year they won't be even to the world top 50 big economy..."

IMF [emoji848] "IMF would downgrade its previous forecast for 4.4% global economic growth in 2022 as a result of the war, The impact would be most severe in terms of driving up commodity prices and inflation, potentially leading to hunger and food insecurity in parts of Africa"

Pro US na NATO wa JF [emoji847] "Russia masikini hana lolote, Uchumi wao mbovu"

Points of argument...
1. Kama ana uchumi hoe hae, ilikuaje akawa wa 11 in the world out of more than 200 Countries worldwide [emoji848]

2. Dunia imekua vitan kila leo, Libya, Iraq, Afghanistan na kwingineko... Why kwa Russia uchumi uyumbe dunia nzima... If its really true uchumi wake ni insignificant to the world?

3. If its really true, Russia gotta poor economy, mbona kuna zaidi ya sanctions 6,000 within a month zipo targeted kwenye uchumi ambao unadaiwa ni poor [emoji848]

4. If Russia economy is insignificant, kwanini kuna maandamano ya raia mataifa husika wakilalamika ugum wa maisha kutokana na vikwazo walivoviweka ilhal uko nyuma kwa nchi kama Venezuela, North Korea na Iran hatuyaona?

5. Wachambuzi wa uchumi wa kimataifa wanatabiri anguko la kiuchumi kwq Europe endapo atafanya total isolation ya nishati kutoka Russia. If that's true, inakuaje mataifa yanayodaiwa yako ngangali kiuchumi yayumbishwe na hii nchi inayodawa kua ni hoe hae kiuchumi.

6. Inflation na hali mbovu wanayopitia raia wa nchi nyingi zaidi dunian lawama zake zinaelekezwa Moscow [emoji23][emoji23][emoji23]... Inakuaje lawama zipelekwe kwenye nchi inayodaiwa ni dhaifu with poor economy [emoji847]

Kwa anguko hilo wanalolidai IMF la kiuchumi duniani haitoshi kusema kua uchumi wa Dunia unategemea kwa kiasi chake survival kutoka Russia?

Je hii haithibitishi kama Russia sio ZIMBABWE [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Umemaliza kazi
 
Uingereza iliweka vikwazo pia kwa binti wa Waziri Sergei Lavrov (wakala mkuu wa Putin nje ya nchi) -nashangaa kidogo jinsi gani binti yake anapata $$ milioni 4 kujinunulia nyumba London? Sidhani mshhara wa waziri unatosha. Basi, Urusi...

More Russians sanctioned including Foreign Minister Sergey Lavrov's London-based step-daughter​

ITV NewsThe UK has sanctioned 65 more Russian individuals and entities including Foreign Minister Sergey Lavrov's London-based step daughter and the paramilitary Wagner Group, which is seen as Vladimir Putin's private army.
Others sanctioned included six more Russian banks, multiple defence companies and Russian Railways.
Foreign Secretary Liz Truss said: “These oligarchs, businesses and hired thugs are complicit in the murder of innocent civilians and it is right that they pay the price.
"Putin should be under no illusions – we are united with our allies and will keep tightening the screw on the Russian economy to help ensure he fails in Ukraine. There will be no let-up."
The Wagner Group is a Russian organisation which has reportedly been tasked with assassinating Ukraine President Volodymyr Zelenskyy.
Another notable name added to the sanctions list is Polina Kovaleva, Foreign Minister Lavrov's daughter, who reportedly owns a £4 million property in London along with an art empire.
She is the daughter of Svetlana Polyakova, who is said to be the mistress of Mr Lavrov.

Back
Top Bottom