Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Kimeumana huko Ulaya wameanza kulia wenyewe mapema sana hata miezi miwili haijapita,.. Pro Russia tutaona mengi ngoja tuagize Popcorn [emoji23][emoji23][emoji23]
Russia has an external debt of $150 billion USD
Russia's foreign reserves is $600 billion USD
Oil and Gas revenue even with sanctions and war $4billion USD monthly
France , US and UK where smart enough to quickly freeze Russian Accounts and asset incase of bad debt
Putin anavunja ordodha ndefu ya mikataba ambayo Urusi ilijiunga nayo.
1. Mkataba wa Budapest ya 05.12. 1994 (ahadi ya kuheshimu mipaka ya Ukraine, kutotishana wala kutojaribu kulazimishana kwa chochote)
2. Mkataba wa Urafiki na ushirikiano wa 31.05.1997 (ulirudia ahadi hizo)
3. Mkataba wa Kuunda Umoja wa Mataifa wa 24.10.1945, hasa 2#4
4. Mkataba wa London wa 1949
5. Mkataba wa Helsinki wa 1975 (pamoja na kutambua haki ya kila nchi kujiunga au kutojiunga na nchi nyingine...)
Umoja wa Ulaya umekuwa Umoja wa kinamama wanachongeana kwa dume lao Vladimir Putin, View attachment 2179496
Umoja wa Ulaya umekuwa Umoja wa kinamama wanachongeana kwa dume lao Vladimir Putin, View attachment 2179496
Sio alikuwa,ananunua hadi keshoMarekani alikuwa ananunua mafuta Urusi??!!
Duuuuh ndiyo maana nchi nyingi zinaombea hii Vita iendeleeZipo sehem nyingi tu ila moja wapo ni hii List of foreign aid to Ukraine during the Russo-Ukrainian War - Wikipedia
Ukaone namna hawa watu walivo wanyama. Kuna nchi zingine zimetuma silaha tupu ila hata ile sh 10 ya humantarian Aid hawajapeleka.
Hapo EU hiyo B1 Euro wanayoitaja ni ya Military Aid pekee ilhal Msaada wa kibinadam ni Just Euro Mil 500 tu.
Na katika nchi zilizomo ndani ya hyo Organization wengiwao vil vile wametuma zaidi Weapons kuliko mahitaji ya kiraia.
List iko ndefu mno...
Ukiachilia mbali nchi kuna makampuni zaidi ya 100 utayaona hapo kwa hapa ntayataja machache yako nyuma ya Ukraine kumpa support ya kila hali.
1. Microsoft Corp.
2. Meta Platforms
3. GOOGLE
4. SpaceX
5. Snap
6. Amazon
7. Kakao
8. Kel-Tec
9. SK Group n.k
Nikurudishe nyuma EU Aid iko hivi (kwa hapa tunazungumzia Ule umoja wao sio nchi moja moja)
1. Military Aid worth more than 1B euro
2. Humantarian Aid worth of 500Million Euro
3. Satellite intelligence ila bado wanakwapuliwa.
US pekee
1. More than 14B US dollars as Millitary Aid
2. 1B US dollars as Humantarian Aid
Hiyo list ukiitizama kisha wakaa chini unajiuliza kwa hii support bado mtu anakalishwa. Ni taasis za kimataifa, kuna Makampuni, kisha uje kwa nchi washirika kisha waambiwa Russia masikin kafilisika kwenye hii vita unabaki mdomo wazi.
Ukirudi tena kuitizama hio list ya hizo Aids kisha uone wanatoka kutangaza uhitaji wa silaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajiuliza kwani hizo walizopewa zimeyeyuka [emoji848][emoji848][emoji848]...
Some people with no brain wanaendela kusema kua Russia ni Super Power wa mchongo. [emoji119][emoji119][emoji119]
Asante Sana ndugu yangu 🙏Zipo sehem nyingi tu ila moja wapo ni hii List of foreign aid to Ukraine during the Russo-Ukrainian War - Wikipedia

Nimecheka kwa sauti.... Hicho ni kiashiria kuwa huyu ni bwana mdogo....Vipi umejua kutumia X na S. Kwenye kiswahili hatuna X.
Wewe bado ni dogo. Nenda jukwaa lingine.View attachment 2178772View attachment 2178773View attachment 2178774
Kumbe ulikuwa hulijui? basi makupa pole sana.Marekani alikuwa ananunua mafuta Urusi??!!