Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hisabati ni changamoto ktk nchi hii... Wapigakura ni 175; hivyo 93 ni asilimia 53. Wasioshiriki ni nje ya hesabu. Hivyo ndivyo jinsi ilivyo kote.
Ila katika kanuni za Umoja wa Mataifa (zilizokubaliwa na Urusi) kura za kutosimama upande wowote hazihesabiwi pia.
Kwa hiyo kura halali zilikuwa 93+ / 24- = jumla 117.
Ndiyo 93 ni zaidi ya theluthi mbili. Hivyo Urusi imepumzishwa kihalali katika kamati ya haki za binadamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na we mzee unazid kukurupuka... Rudia hayo maandishi vizuri. Nakijua nachokiandika.

Nimesema 93 out of 193 member states wa UN... We waja na yako eti 175 kati ya waliopiga kura.

Nimezungumzia wapiga kura au nimezungumzia member states wa UN? Nyie viumbe mna akili gani lakini?

Sasa kama umeshindwa kutofautisha kati ya member states n walioshiriki kupiga kura unaweza kukaa chini kujadiliana na mie kweli wewe?

Then mwenyewe wajiona mwana mahesab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa nguvu. Em ficheni huo uzwazu walau kidogo tu.
 
Humu kuna mtu ukisoma hoja zake yeye ni mtaalam wa vita, ni mchumi wa kimataifa, anajua uuandaji wa silaha na mabomu, yeye ni mtaalamu wa mafuta na gesi.

Kuna dawa ilikuwa inaitwaga ngoka11 inatibu homa, mafua, kipindupindu, malaria, hiv, kansa, polio, kupungukiwa na damu, sukari kupanda, sukari kushuka, inaongeza damu na inatibu n.k
Uelewa wake mpana unakutesa kama sio kukupa wivu.

Hata wewe unaweza kumfikia ukijikita kwenye usomaji wa mambo mbalimbali hasa vitabu au makala za mitandaoni.
 
Kumbe ulikuwa hulijui? basi makupa pole sana.
Mkuu. Umeshupaa kama USA hawezi kuishi bila Urusi kwenye oil...

Russian oil made up only about 3% of all the crude shipments that arrived in the U.S. last year, data from the U.S. Energy Information Administration show. U.S. imports of Russian crude so far in 2022 have dropped to the slowest annual pace since 2017, intelligence firm Kpler said.

Still, it may be surprising that the country imports any Russian oil at all, given that the U.S. produces more crude than Saudi Arabia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza data ni za Uongo hizo... Vidogo vingine vipuuze tu text zitakuwa nyingi...

Russia external debt ni 478B US dollar sio hizo 160 alizokurupuka kuandika....

Na kwa kufanya comparison na nchi ile inayotukuza mashoga na wasagaji iko hivi...

US anadaiwa deni la nje (External Debt) zaidi ya Dollar Trillion 21... Sawa na 102% ya GDP yake.

Russia anadaiwa deni la nje takriban Dollar Billion 478 sawa na takriban 26.9% ya GDP yake.

Kwa kulinganisha ni kua US ana deni kubwa mara 43 zaidi kuliko Russia ingawa in term of number US GdP iko valued mara 11 zaidi kuliko Russia.

Hapa ukitaka kuona uzito wa ukubwa wa deni kwa mlengo wa pato la taifa. Imagine hapo Tanzania deni lipo around 37% ya pato la taifa GDP na kelele ziko kiwango cha rami vipi ka ingekuwa kwa ulinganyo wa kubwa zaidi kuliko pato la taifa ka US? Ingawa mwisho w reli ni Japan.

So kwa hiyo consideration nchi ipi iko healthy?

Nenda tena kwenye mapato na matumizi. Russia mwaka ulopita kwa Quarter 1,2,3 na 4 alikuwa na Accumulative surplus ya zaidi ya Trillion 4 Ruble kwenye budget yake ambazo hizi kwa rate ya sasa ni zaidi ya Dollar Billion 50.... Zaidi ya Trillion 117 za kitanzania... Takriban Budget ya miaka mi4 ya TZ...

Ila kwa upande wa US ye yupo na deficit kwenye budget yake. Tena sio millions wala billions bali Trillion dollars... US Budget Deficit by Year Compared to GDP, Debt, and Events

So ukiangalia hizi fact chini hapo View attachment 2179541 Utagundua kua healthy economy sio ukubwa wa number kwenye makaratasi....

Na wala haiitaji degree kujua kua US anaendesha budget yake ya kujimudu kwa mkopo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ka wabongo wa tandahimba tu japo kuvimba na kujifanya gwiji wa kutoa msaada anaweza.

Kufikia wakatii huu unatakiwa ujue kwamba waga mimi sikurupuki, external debt ya urussi ni 150bn$

👉Russia and Russian companies owe about $150bn in foreign-currency debt. Russia's default on its external debt would be its first since the Bolsheviks failed to recognize the Tsar's debt
 
Mpaka Kesho bado ananunua japo kaweka vikwazo
Russian oil made up only about 3% of all the crude shipments that arrived in the U.S. last year, data from the U.S. Energy Information Administration show. U.S. imports of Russian crude so far in 2022 have dropped to the slowest annual pace since 2017, intelligence firm Kpler said.

Still, it may be surprising that the country imports any Russian oil at all, given that the U.S. produces more crude than Saudi Arabia
 
Uelewa wake mpana unakutesa kama sio kukupa wivu.

Hata wewe unaweza kumfikia ukijikita kwenye usomaji wa mambo mbalimbali hasa vitabu au makala za mitandaoni.


Uelewa wake mpana ni kwa manufaa yake, sitamani kuwa kama yeye, yeye aendelee tu kuwa kama alivyo na mimi nitaendelea kuwa kama nilivyo na wewe endelea kufikiri nateseka na kupata wivu. Kila mtu awe busy na mambo yenye manufaa kwake bila kuvunja sheria za JAMHURI.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na we mzee wangu unazid kukurupuka... Rudia hayo maandishi vizuri. Nakijua nachokiandika.

Nimesema 93 out of 193 member states wa UN... We waja na yako eti 175 kati ya waliopiga kura.

Nimezungumzia wapiga kura au nimezungumzia member states wa UN? Nyie viumbe mna akili gani lakini?

Sasa kama umeshindwa kutofautisha kati ya member states n walioshiriki kupiga kura unaweza kukaa chini kujadiliana na mie kweli wewe?

Then mwenyewe wajiona mwana mahesab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa nguvu. Em ficheni huo uzwazu walau kidogo tu.
Gonga tu [emoji23] mara elfu, bado unaonyesha kwamba huelewi namba. Katika kupiga kura kuna utaratibu. Hapo haidhuru ni wangapi ambao wangepiga kura kama wangehudhuria, lakini ni wangapi waliohudhuria na kupiga kura.
Mengine ni bure.
Inasaidia nini kukadiria kwamba Magufuli aliyepata kura milioni 8.8 mwaka 2015, alichaguliwa na asilimia 17 za raia milioni 51???? Ni bure kwa sababu alipata asilimia 58 za hao walioshiriki katika kura, yote mengine ni bure kabisa.
Kama ungekuwa mpinzani anayehitaji kujifariji kuhusu ushindi wa Magu mwaka ule, ungeweza kufanya michezo hii lakini wote wangekucheka.
Jinsi tunavyocheka sasa uki hesabu watu ambao hawakushiriki katika kura lakini wewe unataka kufanya utahmini wa kura.
(pamoja na hayo ni wazi: hao ambao hawakushiriki kabisa, walitaka kuficha kwamba wanaogopa kuonyesha bendera yao; wale walioshiriki lakini hawakusimama upande walijua kwamba hali halisi wanakubali maana kupinga ni lazima kusema "HAPANA", ukiabstain huhesabiwi.
 
Uelewa wake mpana ni kwa manufaa yake, sitamani kuwa kama yeye, yeye aendelee tu kuwa kama alivyo na mimi nitaendelea kuwa kama nilivyo na wewe endelea kufikiri nateseka na kupata wivu. Kila mtu awe busy na mambo yenye manufaa kwake bila kuvunja sheria za JAMHURI.😀
Kama unatambua hilo hukuwa na haja ya kulalamikia hilo la uelewa wake, ungepuuza tu.
 
Back
Top Bottom