Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hali inazidi kuwa mbaya huko Ulaya. Putin kawashika map.umb.u[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220407-223845_RT%20News.jpg
 
EU Parliament adopts resolution calling to
[emoji843]full embargo on Russian oil, coal, nuclear&gas
[emoji843]plan on EU energy security
[emoji843]kick [emoji635] out of G20, other intl orgs
[emoji843]close [emoji635] ports
[emoji843]disconnect all [emoji635] banks from SWIFT
[emoji843]seize assets of [emoji635] officials&oligarchs linked to Putin regime




Wakati huo huo Jaapan Na South Korea wamesitisha huduma za nishati kutoka Urusi





FINLAND Anaenda kujiunga NATO leo kukamilisha mchakato

Britanicaa
Hadi leo hawajadisconnect tu?[emoji23][emoji23]
 
Mr, are you insane [emoji848]... Huna hoja just funga kopo lako tu... Ain't like you buddy, najua kile nachokiandika.
Mpendwa, labda usibishane na kichaa? halafu una uhakika unachosema ukijaribu kutumia lugha za kigeni? Ulichosema kwa Kiingereza inamaanisha "Mimi si kama wewe" - ambayo ni kweli! ila siyo ulitaka kusema "Don't like you"?
Basi kwa vyovyote, Asante!
 
Sasa kama alijua kuna ugumu kwanini atangaze anaenda kuwatoa hao wanazi miongoni mwa watu?
we ndo huelew mzee.vita ya kupigana ilihali unawatenga usiumize raia ni ngumu sana.sio mshabik ila wangeamua wangevugumisha mabomu raia weng wangekufa.
 
Mpendwa, labda usibishane na kichaa? halafu una uhakika unachosema ukijaribu kutumia lugha za kigeni? Ulichosema kwa Kiingereza inamaanisha "Mimi si kama wewe" - ambayo ni kweli! ila siyo ulitaka kusema "Don't like you"?
Basi kwa vyovyote, Asante!
Afadhali umeitaja sifa ako, maana ningeitaja mie ungesema nakutukana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Vizuri punguza wenge af ukome kukurupuka....

Most of the times huwa naku'ignore ila leo nimeamua kukuonesha ujifaham uwezo wako ulipo... Hiyo dead brain uliyonayo itoe uku joto kali ipeleke uko kwenye joto baridi upunguze speed of decaying.

So kaa ka password utulie tu usubiri size yako ujadiliane nao.
 
Kingine nilicho observe humu hawa wa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] wa buyungu . ukiwa huwajibu nakwambia yanajitandaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila ukiyajibu kidogo yanapunguza uongo humu .
Alisikika Marekani wa Bonyokwa baada kushiba ftari za magimbi
 
Afadhali umeitaja sifa ako, maana ningeitaja mie ungesema nakutukana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Vizuri punguza wenge af ukome kukurupuka....

Most of the times huwa naku'ignore ila leo nimeamua kukuonesha ujifaham uwezo wako ulipo... Hiyo dead brain uliyonayo itoe uku joto kali ipeleke uko kwenye joto baridi upunguze speed of decaying.

So kaa ka password utulie tu usubiri size yako ujadiliane nao.
Cjui kama nilitaja sifa, kimsingi nilitafsiri matusi yako tu kutoka lugha ile nyingine . . . Endelea tu!
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ukraine ameliomba baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa Kuifulusha Urusi kutoka kwenye Jumuia hiyo huku akidai Urusi inatumia Kura yake ya VETO kupinga maamuzi ya
Alitaka watumie kura ipi?😬😬 ,These people are insane!
 
Mmeshavurugwa mpaka sasa hamthubutu tena hata kutoa update za Ukraine,mmebakia kurukia vijihabari vidogo vidogo.Vipi Mkuu hebu tuambie Mzee Putin keshatimba Kyiv[emoji3][emoji3]
[emoji867][emoji867]
 
tofautisha kati ya msaada na mchango Wewe mbulula[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635] kakosa kimoja wapo kati ya hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
But baba yako[emoji631][emoji631][emoji631][emoji631] anavyote hivyo hapa duniani.
Ww mpuuzi jaribu kuwa na lugha ya sitaha hili jukwaa la watu wenye akili timamu si jukwaa la vichaa.
Hapa hatupo kutukanana tupo hapa kujadiliana.
Kwa hiyo jaribu kusafisha mdomo wako mchafu ulio jaa maneno machafu mithiri ya mavi.

Na wala wamarekani hata hawajui kama kuna mlala hoi kama ww unaye tukana watz wenzako kwa ajili yao.
 
Mkuu. Umeshupaa kama USA hawezi kuishi bila Urusi kwenye oil...

Russian oil made up only about 3% of all the crude shipments that arrived in the U.S. last year, data from the U.S. Energy Information Administration show. U.S. imports of Russian crude so far in 2022 have dropped to the slowest annual pace since 2017, intelligence firm Kpler said.

Still, it may be surprising that the country imports any Russian oil at all, given that the U.S. produces more crude than Saudi Arabia
Wap nimesema Marekani hawezi kuishi bila.mafuta ya Urusi?
Yeye kauliza swali ya kwamba Marekani huwa ananunua mafuta Urusi labda mkuu uli taka nimjibuje ?
 
Vituko vya mwaka, eti urussi imeban prime minister na raia wengine wa new zealand kuingia urussi. Mimi mwenye hata bure siwezi enda uko manake kumejaa umaskini na baridi

Russia bans New Zealand Prime Minister Ardern and 129 other citizens from entering
Bila shaka kenya ni tajiri.
 
#BREAKING Situation in Borodianka near Kiev is "much more horrific" than in Bucha, says Zelensky
 
Back
Top Bottom