Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hhhhh[emoji3][emoji3][emoji3]Hao Ulaya pamoja na shoga yao Marekani hawana tofauti na wale wanawake wa Kiswahili wanaokaa vibarazani kazi yao mdomo tu... Alafu unakuta ni vyembambaaa
Hhhhh[emoji3][emoji3][emoji3]Hao Ulaya pamoja na shoga yao Marekani hawana tofauti na wale wanawake wa Kiswahili wanaokaa vibarazani kazi yao mdomo tu... Alafu unakuta ni vyembambaaa
Zipo sehem nyingi tu ila moja wapo ni hii List of foreign aid to Ukraine during the Russo-Ukrainian War - WikipediaMkuu kama utakuwa na source ya hiyo figure za misaada naomba maana kuna MTU nilimuambia akanibishia [emoji120]
😂😂😂😂 kwani ofisi ya takwimu Tanzania, iliposema Katika watanzania wanne , mmoja ni kichaa je walikupima ?😂😂😂😂😂.Forum kama hii inahitaji matumizi ya akili, sasa unatuita Pro Russia vichaa ulitupima?
😂😂😂😂😂😂kama wewe ulivyopakwa mafuta na Galip SV.🤔🤔🤔🤔🤔Hasa kwa mashoga. Lazima wainyenyekee US kwani wanapewa vilainishi bure na wakipata ukimwi hupewa ARVs bure
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Sema mwanetu tumia japo thelughu ya ubongo wako kuchata aya maandiko yako ma taarifa zako unazozileta uku plz mzee wangu unazingua kabisa unaandika vigu vya kitoto mnoUnajua €35b ni sawa na Tsh 88,497,747,450,000.00
Budget yetu ya mwaka ni 30,000,000,000,000. Almost budget ya miaka mitatu ya serikali ya Tanzania. Pesa hiyo Russia kaipata ndani ya mwezi mmoja.
Russia siyo Zimbabwe.
Kweli hivi ni vikao vya harusi inayokaribia kufungwa, maana kila siku lazima wakae, maazimio ni yaleyale wakati nchi huko inaharibiwa.Kila siku maazimio , washapoteana... Vikao kibao kama vya harusi. Washafeli hao.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa kweli upo ulaya wewe?? Ulaya ya mchongo itakua [emoji23][emoji23][emoji23]. Mpaka muda huu hakuna nchi isiyofanya biashara na Russia, hakuna! Narudua hakuna.EU Parliament adopts resolution calling to
[emoji843]full embargo on Russian oil, coal, nuclear&gas
[emoji843]plan on EU energy security
[emoji843]kick [emoji635] out of G20, other intl orgs
[emoji843]close [emoji635] ports
[emoji843]disconnect all [emoji635] banks from SWIFT
[emoji843]seize assets of [emoji635] officials&oligarchs linked to Putin regime
Wakati huo huo Jaapan Na South Korea wamesitisha huduma za nishati kutoka Urusi
FINLAND Anaenda kujiunga NATO leo kukamilisha mchakato
Britanicaa
Huu ujuaji mngekuwa mnauweka katika uhalisia Tanzania ingekuwa mbali sana ki Uchumi,ajabu sana kuyaona Mataifa makubwa yanayoongoza kwa kila nyanja Duniani kuwa hawana akili kuweka vikwazo,wakati huo huo unaishi kwenye Nchi iliyotopea kwenye umaskini wa kupindukia[emoji3][emoji16][emoji3]ipo wazi with all sanctions tungetegemea Russian economy & ruble fresh decline but n opposite uchumi na ruble vyote vinaimarika by dayz
[emoji23][emoji23][emoji23] source yao ni Mzee wa 'Hot News' wa JF[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et wanalipa kisirisiri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Yaani [emoji635][emoji635][emoji635] huyu anayetoa breaking news kila dakika ashindwe kuwaumbua kweupe?.
Anyway tuamini wanalipa kweli kwa siri yaani na [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631] haijui hiyo siri ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walichopoteza wa Rusi tangia vita vianzeView attachment 2179116
Mmeshavurugwa mpaka sasa hamthubutu tena hata kutoa update za Ukraine,mmebakia kurukia vijihabari vidogo vidogo.Vipi Mkuu hebu tuambie Mzee Putin keshatimba Kyiv[emoji3][emoji3]Germany chancellor amesema makampuni yanaruhusiwa kununua gas straight from urusi, labda watanunua kwa TSH mkuu[emoji23][emoji23]
Marekani ina na mamlaka gani kulazimisha wa EU? Trump alijaribu kukataza Wajerumani wasinunue gesi ya Urusi. Kinyume chake, wakiamini kwamba biashara itajenga amani, walijenga bomba la Nordstream 2 ili wapate gesi ya Urusi. Marekani walilia hadi kupoteza sauti.
Sasa anakuja Bwana Putin na katika siku chache hali inabadilika. Nordstream 2 imekufa, baada ya miezi 4 wanamaliza makaa ya Urusi, mwisho wa mwaka mafuta ya Urusi, gesi wanendelea kuounguza kihatua ili wasiangushe uchumi...
Vilevile Obama na Trump walijaribu kuwalazimisha Wajerumani wawekeze katika jeshi. Walikataa.
Anakuja Bwana Putin, akijionyesha haheshimu sheria ya kimataifa wala kujali mikataba , tayari Ujerumani inatangaza sasa wanatenga € bilioni 100 za ziada kwa jeshi.
Unapata wapi picha hii kwamba Marekani inaweza kuamuru sasa? Kila dalili wananchi wa EU wamemtambua Putin kama hatari kwao. Kwa hiyo wako tayari kujitolea na kutoa sadaka fulani (hadi kiwango gani) kupambana na hatari. Haieleweki?
Hasa wakiona kuna unyama kama Bucha, na Putin anakana tu kinyume ya ushahidi na MASHAHIDI HAI wote,
KAMA angesema bahati mbaya kamanda fulani alikosa, ingekuwa tofauti, au angalau tufanye utafiti wa jeshi letu (jinsi marekani walivyosema baada ya My Lai huko Vietnam), ingekuwa tofauti, Maana watu wanaelewa, vita ni jhambo baya ianyoamsha unyama nda ni watu, jinai zinatokea pia upande wa Ukraine. Hivyo watu wanaona tu uwongo, uwongo, uwongo, ambayo ni hatari, basi wajikinge.
🙏🙏🙏 yaani hawa pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 ni vichaa sana .Huu ujuaji mngekuwa mnauweka katika uhalisia Tanzania ingekuwa mbali sana ki Uchumi,ajabu sana kuyaona Mataifa makubwa yanayoongoza kwa kila nyanja Duniani kuwa hawana akili kuweka vikwazo,wakati huo huo unaishi kwenye Nchi iliyotopea kwenye umaskini wa kupindukia[emoji3]
Daaah! Kwa hii list ya misaada ni kama Vita ya Nchi zote duniani dhidi ya Russia,,, hapo ata ingekuwa n Tanzania vs Russia, halafu tunapewa support kiasi hicho tungeweza kumbua huyo big Russia.Zipo sehem nyingi tu ila moja wapo ni hii List of foreign aid to Ukraine during the Russo-Ukrainian War - Wikipedia
Ukaone namna hawa watu walivo wanyama. Kuna nchi zingine zimetuma silaha tupu ila hata ile sh 10 ya humantarian Aid hawajapeleka.
Hapo EU hiyo B1 Euro wanayoitaja ni ya Military Aid pekee ilhal Msaada wa kibinadam ni Just Euro Mil 500 tu.
Na katika nchi zilizomo ndani ya hyo Organization wengiwao vil vile wametuma zaidi Weapons kuliko mahitaji ya kiraia.
List iko ndefu mno...
Ukiachilia mbali nchi kuna makampuni zaidi ya 100 utayaona hapo kwa hapa ntayataja machache yako nyuma ya Ukraine kumpa support ya kila hali.
1. Microsoft Corp.
2. Meta Platforms
3. GOOGLE
4. SpaceX
5. Snap
6. Amazon
7. Kakao
8. Kel-Tec
9. SK Group n.k
Nikurudishe nyuma EU Aid iko hivi (kwa hapa tunazungumzia Ule umoja wao sio nchi moja moja)
1. Military Aid worth more than 1B euro
2. Humantarian Aid worth of 500Million Euro
3. Satellite intelligence ila bado wanakwapuliwa.
US pekee
1. More than 14B US dollars as Millitary Aid
2. 1B US dollars as Humantarian Aid
Hiyo list ukiitizama kisha wakaa chini unajiuliza kwa hii support bado mtu anakalishwa. Ni taasis za kimataifa, kuna Makampuni, kisha uje kwa nchi washirika kisha waambiwa Russia masikin kafilisika kwenye hii vita unabaki mdomo wazi.
Ukirudi tena kuitizama hio list ya hizo Aids kisha uone wanatoka kutangaza uhitaji wa silaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wajiuliza kwani hizo walizopewa zimeyeyuka [emoji848][emoji848][emoji848]...
Some people with no brain wanaendela kusema kua Russia ni Super Power wa mchongo. [emoji119][emoji119][emoji119]