Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky, along with two fighters from the Ukrainian nationalist Azov battalion (a terrorist group banned in Russia) delivered a speech to the Greek parliament via a video call.


The speech of the Azov militants wasn't on schedule and seemed to cause a political scandal. Zelensky himself was greeted only by the deputies of the ruling New Democracy party, while the remaining MPs refused: many of them even boycotted this meeting.


"President Zelensky delivering speech to the Greek parliament along with the members of the Azov battalion is an unacceptable situation," said the secretary of Greece's main opposition party Syriza.
 
Mpaka sasa hakuna taifa lolote ambalo halifanyi biashara na Russia hao EU wnanunua gas baba yao USA ameongeza supply ya wese na mbolea.

Tukisema West ni wanafiki na wakupuuzwa kuna watu humu ndani mnavimba kama mtu aliyekabwa na kokwa la embe. Marekani kashinikiza sana sanctions kwenye mafuta/gas ya Russia lakin sahv kimya kawaachia watoto wake msala wapambane huku yeye kaongeza supply ya wese [emoji28][emoji28].

Hawa EU hawana akili kabisa Nishati wanategemea Russia, chakula wanategemea Russia afu wanajitapatapa hivi Russia akiamua kufight back si watapoteana??.

Nchi nyingi za EU hazina ubavu mbele ya US, Ni wale watu wa Yes Sir, hawa watakuja shtuka muda umekwenda sana. Ndomana US anapigana sana kuweka vibaraka wake kila nchi unafikir kwanini? Akose upinzani.

Ni uzwazwa kuona raia wako wanateseka kisa US hawa viongozi ni wa hovyo kuliko tuko zama mpya sio zile za zaman sahv kila mtu anaakili na uelewa wa mambo.

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
Ndio maana nimetokea kumpenda waziri mkuu wa Hangare hataki kupelekeshwa kabisa.
Sasa na shangaa nchi kubwa kama Ujerumani na Ufaransa zinapelekwa mputa na Marekani.
 
Wanalipa kisirisiri ndyo maana Russian ruble goes stronger unexpectedly
😂😂😂😂😂😂 et wanalipa kisirisiri😀😀😀😀😀.
Yaani 🇷🇺🇷🇺🇷🇺 huyu anayetoa breaking news kila dakika ashindwe kuwaumbua kweupe?.
Anyway tuamini wanalipa kweli kwa siri yaani na 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 haijui hiyo siri ?😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et wanalipa kisirisiri[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Yaani [emoji635][emoji635][emoji635] huyu anayetoa breaking news kila dakika ashindwe kuwaumbua kweupe?.
Anyway tuamini wanalipa kweli kwa siri yaani na [emoji631][emoji631][emoji631][emoji631] haijui hiyo siri ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi openly Kama Hungary wameweka wazi German kashawaambia hao ndg zake wa NATO kwamba kwasasa hawez survive without Russian energy, vivyo hivyo for the rest,
Kwahesabu za kawaida kama sanctions zingekua zinafanya kazi Ruble na Russia economy zingekuwa mbaka sasa kwenye hali mbaya
 
Mpaka sasa hakuna taifa lolote ambalo halifanyi biashara na Russia hao EU wnanunua gas baba yao USA ameongeza supply ya wese na mbolea.

Tukisema West ni wanafiki na wakupuuzwa kuna watu humu ndani mnavimba kama mtu aliyekabwa na kokwa la embe. Marekani kashinikiza sana sanctions kwenye mafuta/gas ya Russia lakin sahv kimya kawaachia watoto wake msala wapambane huku yeye kaongeza supply ya wese [emoji28][emoji28].

Hawa EU hawana akili kabisa Nishati wanategemea Russia, chakula wanategemea Russia afu wanajitapatapa hivi Russia akiamua kufight back si watapoteana??.

Nchi nyingi za EU hazina ubavu mbele ya US, Ni wale watu wa Yes Sir, hawa watakuja shtuka muda umekwenda sana. Ndomana US anapigana sana kuweka vibaraka wake kila nchi unafikir kwanini? Akose upinzani.

Ni uzwazwa kuona raia wako wanateseka kisa US hawa viongozi ni wa hovyo kuliko tuko zama mpya sio zile za zaman sahv kila mtu anaakili na uelewa wa mambo.

GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
Bora izo nchi za EU wangempa hata makonda aongoze.
 
Tatizo uwezo wa kuhimili huwa hawana kabisa.Nenda nao kihuni hivyo hivyo utaona wanavyotokwa mapovu Mkuu,baadae watakimbilia kuflood macomment ya 'hot news' [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 asant mkuu......!!!!!!.🙏🙏🙏🙏🙏
Hawa vichaa niachie nidili nao
😂😂😂😂😂 nawamudu hawa pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 wa manzese .
 
Baadhi openly Kama Hungary wameweka wazi German kashawaambia hao ndg zake wa NATO kwamba kwasasa hawez survive without Russian energy, vivyo hivyo for the rest,
Kwahesabu za kawaida kama sanctions zingekua zinafanya kazi Ruble na Russia economy zingekuwa mbaka sasa kwenye hali mbaya
😂😂😂😂 ulivyo kiazi . hivi na Hungary nae ni taifa pinzani kwa 🇷🇺🇷🇺?.
 
Mmoja hapa anakujibu wameshaanza kununua kwa Ruble kwa mujibu ya Halmashauri ya kichwa chake.Pro Russia wamevurugwa [emoji23][emoji23]
hawa pro🇷🇺🇷🇺🇷🇺 usiseme wamevurugwa . hawa ni vichaa kama alivyo kiongozi wao Putin.
 
[emoji631][emoji635][emoji1255] The United States uses "the most despicable methods" to prolong the conflict in Ukraine to make it as costly as possible for Moscow and Kiev, Russian Foreign Intelligence Service Chief Sergei Naryshkin says.

At the same time, Washington seeks to prevent the situation in Ukraine from spreading further to the West, he added.
Walichopoteza wa Rusi tangia vita vianze
20220407_153216.jpg
 
[emoji779]Brussels: Ukraine Foreign Minister Dimitry Kuleba calls on NATO members to provide Kiev with arms


“My agenda is very simple. It has only three items on it. It’s weapons, weapons, and weapons."
Weapons, Weapons, Weapons.

Ila sio shelter ya Raia wao wanaogeuka kua wakimbizi. Sio food wala humanitarian aid kwa Raia wao wanaoathirika kwa maamuzi yao ya kingese.

Its just "weapon, weapon, weapon" ilhali wanadai wanashinda huku wakitueleza hasara kubwa kwa Russia.

Wanashinda na wanaendelea kushinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wana run out of ammunitions, sasa hizo silaha worth more than 16Billiom Dollars ambazo washapewa since 24th Feb zimeishia wapi [emoji848]
 
Several Chinese companies bought Russian coal for yuan already in March, and shipments will arrive in China this month.

Bloomberg writes about this, citing data from a Chinese consulting company.

It is noted that these will be the first deliveries paid in yuan since the US and Europe imposed anti-Russian sanctions.

In addition, it is possible to pay for oil in yuan. According to the agency, the first batches of raw materials will be delivered to independent Chinese processors in May.
Galip SV
20220406_134219.png
 
Back
Top Bottom