Nkuba25
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,386
- 13,136
Na huyo Ni mteja mmoja Tu - EU.Unajua €35b ni sawa na Tsh 88,497,747,450,000.00
Budget yetu ya mwaka ni 30,000,000,000,000. Almost budget ya miaka mitatu ya serikali ya Tanzania. Pesa hiyo Russia kaipata ndani ya mwezi mmoja.
Russia siyo Zimbabwe.
Na hiyo Ni energy product only.