Zelensky Putin
Member
- Mar 22, 2022
- 30
- 157
Wanapelekwa kama bendera, Unajali maslahi ya USA kuliko wananchi wako, ivi hizi akili wametoa wapi?Ukweli haukimbiwi. This Time Wa magharibi wamekamatika.
Wanapelekwa kama bendera, Unajali maslahi ya USA kuliko wananchi wako, ivi hizi akili wametoa wapi?Ukweli haukimbiwi. This Time Wa magharibi wamekamatika.
Taifa kubwa Russian, nchi nyingi zinaendelea kufanya biashara na Russian, susia sisi twala, Nowadays watu wanakili zao timamu, ukitoa akili za EURuble yamshangaza Biden wa Marekani...
Pamoja na vikwazo vyote vilivyowekwa dhidi ya Russia na wafanyabiashara wake wakubwa ili kuporomosha thamani ya sarafu hiyo, mambo yamekuwa kinyume na hesabu alizopiga Biden na matarajio yake...
Mwanzo Ruble ilianguka vibaya na kufikia 121 ruble ndio sawa na 1 USD. Sasa ruble yapanda thamani kwa fujo na leo imefikia kuwa karibu sawa na ile thamani yake ilivyokuwa kabla ya vita vya Ukraine. Leo 77 ruble ndio sawa na 1 USD, wakati kabla ya vita ilikuwa 76 ruble ndio sawa na 1USD
Marekani yaivulia kofia ruble, yasema ruble imerejea ktk thamani yake kwa kushangaza mno! 'A SURPRISING RECOVERY!' kama ilivyoripotiwa na Voice of America (VOA)
View attachment 2178949View attachment 2178950View attachment 2178951
View attachment 2178968View attachment 2178966
Rais unaishi kama digidigi . 😂😂😂😂.Ni decision yake...yeye havai hizo za mdomoni na puani...ni decision yake...Sasa nyie mna hofu ya Nini? Hayo ni Mambo ya ndani ya Russia...
Hebu tumshauri tunaponunua ngano na bidhaa nyine kutoka Russia tutumie shilingi ya TZ na ruble 😁😂Kwaheri dolari walitutesa sana hawa UMBWA
anafanya biashara na mataifa ya kiujanjaujanjaTa
Taifa kubwa Russian, nchi nyingi zinaendelea kufanya biashara na Russian, susia sisi twala, Nowadays watu wanakili zao timamu, ukitoa akili za EU
Unaweza kumuelewa mtu alivyo kwa kauli zake...JF is a serious forum for discussions...Watu wanaleta Mambo mazito na ya maana kubwa kabisa...jukwaa hili ni elimu tosha...lakini baadhi naona wanataka kuleta Mambo ya Facebook humu very sad indeedRais unaishi kama digidigi . 😂😂😂😂.
Rais uchwala huyo .
Kwakweli itafaa sanaaHebu tumshauri tunaponunua ngano na bidhaa nyine kutoka Russia tutumie shilingi ya TZ na ruble [emoji16][emoji23]
hayo ni yako mkuu.Unaweza kumuelewa mtu alivyo kwa kauli zake...JF is a serious forum for discussions...Watu wanaleta Mambo mazito na ya maana kubwa kabisa...jukwaa hili ni elimu tosha...lakini baadhi naona wanataka kuleta Mambo ya Facebook humu very sad indeed
Unampa Airtime kwakumjibu mpotezee unapoteza muda wako MKUUUnaweza kumuelewa mtu alivyo kwa kauli zake...JF is a serious forum for discussions...Watu wanaleta Mambo mazito na ya maana kubwa kabisa...jukwaa hili ni elimu tosha...lakini baadhi naona wanataka kuleta Mambo ya Facebook humu very sad indeed
Wazungu wa EU Ni wajinga Sana.[emoji1099]Oh.
The EU paid Russia 35 times more than it gave aid to Ukraine, Borrell said.
The head of EU diplomacy noted that financial assistance to Kiev is estimated at €1 billion.
And since the beginning of the special operation in Ukraine, the countries of the European Union have paid Russia €35 billion for the supply of energy resources.
Everyone in the EU should now get on the "Peacemaker".
kichaa wenuMpaka sasa hakuna taifa lolote ambalo halifanyi biashara na Russia hao EU wnanunua gas baba yao USA ameongeza supply ya wese na mbolea.
Tukisema West ni wanafiki na wakupuuzwa kuna watu humu ndani mnavimba kama mtu aliyekabwa na kokwa la embe. Marekani kashinikiza sana sanctions kwenye mafuta/gas ya Russia lakin sahv kimya kawaachia watoto wake msala wapambane huku yeye kaongeza supply ya wese [emoji28][emoji28].
Hawa EU hawana akili kabisa Nishati wanategemea Russia, chakula wanategemea Russia afu wanajitapatapa hivi Russia akiamua kufight back si watapoteana??.
Nchi nyingi za EU hazina ubavu mbele ya US, Ni wale watu wa Yes Sir, hawa watakuja shtuka muda umekwenda sana. Ndomana US anapigana sana kuweka vibaraka wake kila nchi unafikir kwanini? Akose upinzani.
Ni uzwazwa kuona raia wako wanateseka kisa US hawa viongozi ni wa hovyo kuliko tuko zama mpya sio zile za zaman sahv kila mtu anaakili na uelewa wa mambo.
GOD BLESS RUSSIA [emoji635]
nyinyi ni wahuni . na mimi nawaahidi kwenda kihuni na nyinyi . mpaka mnyooke wapuuzi nyie 😂😂😂😂😂😂😂Unampa Airtime kwakumjibu mpotezee unapoteza muda wako MKUU
ila neno langu sio sheria
Haahaahaa!! Sasa ni adhabu nayo hiiNipigwe ban humu akishinda